Wema Sepetu auchukia uongozi wa awamu ya tano.

Vigogo waliokua wanamhonga wamefulia automatically hata yeye lazima afulie, kwa hali hiyo ataipendaje serikali?[emoji23] [emoji23]

Awamu hii kila mmoja wetu anaisoma namba kwa style yake.
Tumeanza kuongea lugha moja

nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Hata uongozi wa JK wengine tuliuchukia na huu tunaupenda..asijione ye ndio kabeba hisia za watanzania wote..vitu vingine aongee na mama yake huko huko chumbani..
Amekumbuka juisi za ikulu kila wiki wakati wengine hata geti la ikulu hatujagusa
Atueleze na jinsi alivyokuwa anafuga mashoga kwenye awamu ya jk
 
Utawala huu hauwezi kupendwa na wala ndumu
 
Kuna watu wa kuwajadili walichosema kwa sifa zao lakini si huyu.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] madanga yameadimika mjini pagumu jamani.
Enzi za jk alikua anatembea kila kila kiwanja cha starehe kwa band kugawa mijihela sasahivi hata bar kwenda kwa nadra sana.
Enzi za jk alikua anatembea na wabeba pochi wawili sasahivi pochi anabeba mama yakee

Rubiikimimi[emoji85]
 
Wengi humu hamjaelewa concept ya alichoandika

Kuna unyanyasaji na utesaji wa mwili (physical harm) kama sikosei. Labda elimu yangu mdogo naomba kusahihishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…