Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Best commentMatunda ya kujitia kimbelembele na magwanda ya kijani na njano ndio haya. Na bado kuna wengi mpaka yawakute ndio wajue kuwa wanasiasa sio watu wa kuwashabikia kama Manchester United
Ushahidi upo au anatafuta sympathy kwa raiaWengi humu hamjaelewa concept ya alichoandika
Kuna unyanyasaji na utesaji wa mwili (physical harm) kama sikosei. Labda elimu yangu mdogo naomba kusahihishwa