Wema ameamua kujibidisha domo amemnunia matokeo yake anachepuka na kaex ka kalala junior, benzi pia lilileta mtafaruku. Kajala amefulia mbaya CK hadhikiki tena. Hata kodi ya nyumba majanga.
Sijajiandaa kujibu maswali mnitafute kwa wakati wenu

Heaven Sent na geniveros piten kwa sinta mcheke wenye waume wazungu wanawagawa eti wamewachoka wana gubu ,wachoyoo, ukiiona mke wa mzungu mwembamba sio diet hiyo ni stress " nimechekajee
Nasikia alienda kwa Buzi, na Martin kwa Buzi yaan ni mabuzi tuuuu
Hawa wana laana si bure!
Heaven Sent na geniveros piten kwa sinta mcheke wenye waume wazungu wanawagawa eti wamewachoka wana gubu ,wachoyoo, ukiiona mke wa mzungu mwembamba sio diet hiyo ni stress " nimechekajee
shosti na wewe Mpana kama Pazia la sinema ? nimeona sasa hivi mbavu sina hahahaha maana wengine wanatamani acha wagawe tu
Hahaha bina nimecheka tu na yule alosema alitumia dodo sijui cream gani vile, ameota ndevu kama Osama. Na mwingine kaambiwa mtumbo mbaya kama amepanga tairi za vits hahaha
Halaf we huaga mbea wa mwishoo jitahid uwe wa kwanza basi maubuyu yanakupitagaaa
Kwan wambea binamu tunasemaga uwongo??
Wambea tunaona mbali, ooh
Hiz k hua ni nzuri kwa mwanaume tu kwa mwanamke mwenzio kinyaaaa kushika k ya mwenzio
usilolijua ni sawa na usiku wa giza
Siku hizi naye kafia wapiWarumi ulikuwa na habari aiseee
Motomoto