chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
WeEwEe ni KiMAaaaa PoRii. nikIaMbiwA niChAgue SeheMu yoyOtE ninGekuPelEkA kwa MadiBa ukaFiee huko. Yaani watAnzania ndo mAaana haTueNdelEi badaLa ya kUtoA mawAzo positiVe unAisHia kupRoducE usHuuzi Tu.
NaKubAli ndi o wEma ni MhUni ilA inApokUja kwEnye swalA la Kazi yAke yuKo vizuri so wEka chUki pemBeni na umSapOti kazI za mTanZania mweNzako.
#Kuwa MzAlenDo.
Ndiyo Tanzania yetu hiyo ya sasa,watu wasio na maadili wala sifa njema kwenye jamii,ndio wanaoongelewa sana,utakuta makahaba na waasherati ndio wanaitwa mastaa
The likes of Shilole n.k ..Leo hawa ndo tulikofika huko na hii ni Nazi ya ibirisi na maagents wake,haiwezekani watu wa hivi katika jamii ndo wanaonekana mastaa,role models,walembo,mifano sahihi ya wanawake n.k ...kama ndivyo basi shetani kashashinda tayari na kinachofuata in gharika,eti shilole anaulizwa maswali muhimu kabisa kuhusu jamii ya Tz then unajiuliza inamaana wamekosa watu wenye kuweza kuuilizwa maswali ya hivi na kuyajibu kwa usahihi kweli? ama ndo akiri zetu zishapumbazwa kwa mapepo yao
Mh hivi kumbe bado kuna watu hawajui kuandika sasa hiyo ndo nini jaman. Hahahaaaa
ndoto za alinacha movie za bongo mmmh
mwenzangu hiyo hela ninunulie tom and jerry, kirikuu na kibena ntaenjoy mnooo kuliko hicho unachotaka kunletea lolNtakununulia copy yako puriiiz uitazame.
Mkuu ulipita darasa la pili? Huoni tatizo kuchanganya herufi?
Suala lililopo ni uigizaji ila watu mnamjudge Wema eti malaya.....like seriously???!
Ebu ulizeni life la Tonto Dikeh, Chika ndo mje mzungumze hapa. Au wale kina Martha Ankomah and the co muone walivyo!
Kazi ni kazi na tabia ya mtu ni kitu kingine watu tuacheni utabiri usokuwa na tija!
Hivi wakosaji wakiwa wengi kosa linafutika...?
Suala lililopo ni uigizaji ila watu mnamjudge Wema eti malaya.....like seriously???!
Ebu ulizeni life la Tonto Dikeh, Chika ndo mje mzungumze hapa. Au wale kina Martha Ankomah and the co muone walivyo!
Kazi ni kazi na tabia ya mtu ni kitu kingine watu tuacheni utabiri usokuwa na tija!
Umeongea point ya maana Kuna watu Wana jiona Wema Sana hafu ni wanawake kunyooshea vidole wenzao mara Malaya sijui nini wakati wao wenyewe wazinzi wengine Wana michepuko hadi wamepata watoto. Mtu akifanya kizuri ni vzuri ku appreciate sasa wanawake kwa kutopendana number moja.
Wema malaya lakini mtamu..Juzi nimelivizia pale katalunya matokeo yake babu nditi kaliwahi kaenda kulifokonyoa maugali..mxxxx mizee mingine bwana