Umeongea point ya maana Kuna watu Wana jiona Wema Sana hafu ni wanawake kunyooshea vidole wenzao mara Malaya sijui nini wakati wao wenyewe wazinzi wengine Wana michepuko hadi wamepata watoto. Mtu akifanya kizuri ni vzuri ku appreciate sasa wanawake kwa kutopendana number moja.
Afu sasa hao wanaomtusi Wema ni vile sio ma star maana tabia zao zingejulikana ni balaa haswa....afu kweli ni aibu jitoto la kike lizima badala ya kumsuport mwenzao ndo ya kwanza kumtukana utazani hao ni mabikira wanangoja ndoa....
Kwani ata kama wema ana issue zake ni personal issue za mtu....lakini watu ni blaaa blaaaaa blaaaaaa tuu.