Wema Sepetu Hajapendeza hata Kidogo

Wema Sepetu Hajapendeza hata Kidogo

1497546_755602124471548_2586339686918388882_n.jpg



1959253_755566541141773_1293465776012357318_n.jpg


Hapo Wema Kafanya Tangazo lichekeshe sasa Badala ya Kuvutia !

Sijui nani alimshauri !
Lazima Mondi ndiye aliyemshauri
 
Teh teh Mkuu ungesema hajapendeza ingetosha..Ila umeongezea "hata kidogo" Kwa msisitizo kibongo zaidi 😀

Naunga mkono hoja..Tangazo libadilishwe 😉
 
tangazo halina tatizo labda km kuna lingine...
 
Huyu binti masikini hata afanye nini watu kazi Yao kutoa kasoro. Mumuwache binti sepetunga afanye yake
 
Huyu binti masikini hata afanye nini watu kazi Yao kutoa kasoro. Mumuwache binti sepetunga afanye yake

hajakatazwa kufanya yake na kwanza maneno ya watu si sheria ila tunachokisema hadhi ya hilo tangazo imeshushwa na muonekano mbaya wa wema. HAJAPENDEZA!
 
Wewe mzuri unamjua mzuri na mbaya anafananaje hebu weka picha yako au ya dada yako tuichambue uone kama utasifiwa

Hakuna mbaya hata mmoja labda wewe unayebisha bogaz
 
Back
Top Bottom