Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Kapunguza mkorogo anapendeza
Aah wapi, 360 at work kama sio adobe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapunguza mkorogo anapendeza
Lazima Mondi ndiye aliyemshauri![]()
![]()
Hapo Wema Kafanya Tangazo lichekeshe sasa Badala ya Kuvutia !
Sijui nani alimshauri !
Wacha uongo ngozi inabadilishwa?kaacha kabisa c ndo alienda china kubadilisha ngozi?umesahau?
Wacha uongo ngozi inabadilishwa?
kaacha kabisa c ndo alienda china kubadilisha ngozi?umesahau?
Wacha uongo ngozi inabadilishwa?
tangazo halina tatizo labda km kuna lingine...
huyu dada hata avae nn anapendeza, mumuache miaka 100000000000000000 akinyoa mnasema akisuka mnasema lo!
tangazo halina tatizo labda km kuna lingine...
Mie naona yuko poa
tangazo liko okay...wema pia ametokelezea powa..asiyependa akanye tikiti
Huyu binti masikini hata afanye nini watu kazi Yao kutoa kasoro. Mumuwache binti sepetunga afanye yake