Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapunguza mkorogo anapendeza
Hamjui ukifanya PROFESSIONAL PHOTO SHOOT kama hilo tangazo kila kitu kinaamuliwa na PROFESSIONALS.? Wema hapo hakuwa na say! Hilo labda mumlaumu costume designer au make up artist kama alichagua hio look,! Kiroho safi lakini!
Pia inawezekana ni markwting trick tu ya airtel, kuwaprovoke muongee sanaaa na kushare tangazo owa wingi, hukunmnaponda huku mnapata na kusambaza ujumbe! Inaitwa KANTANGAZEEEEEEEEE,!
haters kazi yao kuhate ukiwauliza sababu watakujibu basi tu.
Pia inawezekana ni markwting trick tu ya airtel, kuwaprovoke muongee sanaaa na kushare tangazo owa wingi, hukunmnaponda huku mnapata na kusambaza ujumbe! Inaitwa KANTANGAZEEEEEEEEE,!
huyu dada hata avae nn anapendeza, mumuache miaka 100000000000000000 akinyoa mnasema akisuka mnasema lo!
Hamjui ukifanya PROFESSIONAL PHOTO SHOOT kama hilo tangazo kila kitu kinaamuliwa na PROFESSIONALS.? Wema hapo hakuwa na say! Hilo labda mumlaumu costume designer au make up artist kama alichagua hio look,! Kiroho safi lakini!
Nyuma ya keyboard kuna ficha mengi,utakuta anayemnanga huyo binti utakuta sura yake kama Masoud Surambaya.