Wema Sepetu: Idris umenifanya nijivunie kuwa mwanamke

Mbona kama Wema anamwonea Idrissa wa watu kijana mdogo bado mbichi kabisa kwenda kujipachika kwa jimama la radhi si busara.
 
h
Mbona kama Wema anamwonea Idrissa wa watu kijana mdogo bado mbichi kabisa kwenda kujipachika kwa jimama la radhi si busara.
ahahaha tatizo nyotaaa

bora samata amesepa angesha pewa 0713 watu kujibebisha khaaaaaaa
 
Subirini team Wema waje hapa mje kuona mapovu yao teheheeh
 
hahahahahahahaha lol umenichekesha kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…