Wema Sepetu: Idris umenifanya nijivunie kuwa mwanamke

Wema Sepetu: Idris umenifanya nijivunie kuwa mwanamke

Mbona kama Wema anamwonea Idrissa wa watu kijana mdogo bado mbichi kabisa kwenda kujipachika kwa jimama la radhi si busara.
 
h
Mbona kama Wema anamwonea Idrissa wa watu kijana mdogo bado mbichi kabisa kwenda kujipachika kwa jimama la radhi si busara.
ahahaha tatizo nyotaaa

bora samata amesepa angesha pewa 0713 watu kujibebisha khaaaaaaa
 
Subirini team Wema waje hapa mje kuona mapovu yao teheheeh
 
Mwenzenu alikuwa ana changisha, ati kajaliwa kuwa na kabank kakuhifadhia mbegu au storage tank ndio kale kwenye vile vihips utadhani mimba ya mbuzi Idrisa ndio ame bahatika kukamilisha collection iliyo hitajika kakatengenezwa ka zygote basi subiri uone kiumbe kitakacho shushwa hapo, kitakua na sura ya kila aliye loweka kamba yake, kama una zikumbuka sura zao sasa zichanganye uone salad itakayo patikana hapo,mdomo wa baba flani,uso wa nyumbu wa aliye funga komeo, na viungo tofauti tofauti vya kina nani hii.
hahahahahahahaha lol umenichekesha kweli
 
Back
Top Bottom