Wema Sepetu: Idris umenifanya nijivunie kuwa mwanamke

Kwani ile nissan ya msisiemu mwenye midomo mikubwa ilisharudishwa
au upendo unapanda juu ya mwingine?
 
Wema angekuwa anayaona haya yanayosemwa humu ndani, nadhani angepiga kufuri kabisa kunako
 
Huyo malaya kazidi, kaifanya bongo movie yote inuke, kila mtu kawaona bongo movie ni malaya kwa sababu yake! Kweli, nimeamini ule usemi "SAMAKI MMOJA AKIOZA, WOTE HUOZA"

Embu tafuteni celebrity yeyote bongo ambaye Kisimi chake kimesuguliwa kuliko WEMA KUMANYOKOOO...! Ukipata, nakupeleka kwenye JACUUZI la AIRTEL ukajitochee mihela.. wewe na pumzi yako tu.
 
Why is this a big deal?

Why do people even care?

Does it concern you all if she's preggers or not?
 
Unajua hapa wengi wanafanya ushabiki maandazi tu

Hakuna maumivu kama anayopitia mwanamke pale anaposhindwa kubeba mimba na kuzaa mtoto

Tena namtaka Wema sepetu ai-enjoy every moment........ asitazame hawa watu wasafi wasio na dhambi wa mitandaoni wanasemaje
 
mwacheni aishi maisha yake so long as hajaomba hela ya kula kwenu, kwan nyie mmeshatiwa na wangap na mmetia wangap?mwacheni hata akijaza behewa la third class Uhuru ni wake
 
Jamani wambea wenzangu,mengi tumesema,tumemtukana sana Wema,huu ni muda wa kusema IT'S ENOUGH na kumtakia huyu dada kila la kheri na mpenzi wake mpya Idris.
Wengi wetu huku sio wake kwa waume tumepitia misukosuko kibao na tena wengine ya kutisha zaidi ya Wema,tusijidanganye kwa fake ID hizi,bado uhalisia wa maisha yetu utabaki palepale.

Nimesema yote haya sababu naona watu wametokwa povu na wengine wanamtukana na kumkejeli Wema kwa alichomuandikia Idris,binafsi nimemuelewa,ni nani (mwanamke) ambaye hapendi kufanyiwa kama Wema anavyofanyiwa na Idris?
Tuache WIVU,badala yake tuwatakie kheri na Mungu awajaalie mtoto mwenye afya njema.
Ni mawazo yangu anyway, sio lazima mkubaliane na mimi.
 
hii jinsia ya kike ina matatizo sana na mkiambiwa hampendan na hilo pia mnakataa.kuna watu wanatoa shombo hapa na ukiwauliza washadate watu wangapi ni lazma wavute hisia kali kama machangudoa wa tmk lakini hapa wanajifanya watakatifu as if hawamjui mwanaume.acheni unafki na wengine mnamuombea mwanamke mwenzenu asizae (huu ni zaid ya uchawi) na wakati hata tumbo lako halijawah kupata hisia za kijusi.kabla hujafa haujaumbika
 



Khaaaa, kumbe Wema hapo zamani alikuwa na dushelele?
 
Watu wana wivu humu dahhhh.

Si mumwache ni maisha Yake .
Kazaliwa mwenyewe anaishi atakavyo na atakufa
Mwenyewe. Watu mna mtusi ya nini ??

Au mlitaka Idrissa awape mimba nyie.

Huyu Dada mnamtusi ajili ma paparazzi hawaachi
Kumfuatilia na kuweka maisha yake yote hewani.

Na nyie mnao mtusi mkiweka maisha yenu yote
Kwenye mitandao watu tutahama dunia. Mnajifanya watakatifu ajili hamna anaejua ya uvunguni mwenu. Mmeoza hamna mana.

Wema na Idrissa hongera zenu.
Nawatakia kila jema maishani. Na Mungu awatangulie kwa kila jambo mfanyalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…