Wema Sepetu: Idris umenifanya nijivunie kuwa mwanamke

Wema Sepetu: Idris umenifanya nijivunie kuwa mwanamke

adcf371490747a39eb887b334630e506.jpg
f2e36726dd0d619341a38b31f7c630c9.jpg
a09d1094e5b2d01a290d14f3e1424750.jpg
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji41] [emoji41] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji15]
 
Mbona sijaelewa hapa....
mkuu hujaelewa nini hapo?kwa mie nilivowaelewa ni kuwa wanaipa promo.mimba ya wema au kwa maneno mengine mimba ya wema inapewa promo na wapambe wake,kama wanavotokea kweny picha!
 
Haaaahaaaaa wabongo bana bi zarina kwa dangote mnabariki ila idris kwa wema kosa! Mbona mishipa ya macho itawatoka mwaka huu😀😀😀
Nakumbuka Zari anaitwa bibi, hapo sasa sijui nani anabarikiwa kati yao
 
Drama xchick met dram niccah..gues waat.... asipoadapt.mtoto huyu cjui tu
 
Kijana atakuwa anajua kujituma huyo mlolongo wote walikuwa wanaipapasa papasa tu.
 
Timing ni kitu muhimu sana kumbe watu wakitulia unaweza kukuta wagumba ni wachache sanaaa.
 
2006 wema anaukwaa umiss wa bongo Idris sultan alikuwa darasa la 7 LY sasa ndio baba mtarajiwa,haya maisha sometime yamejaa drama.mwisho wa siku mtakuja kujua wema hana lolote kama kawaida yake

Hivi diamond na zari wamepishana miaka mingapi vile?!!!!!!???
 
Huwa wakati mwengine natafakari pale naposikia mwanaume kailoweka nyama mbichi hadi kamtia mimba m-bongo movie, sijui wanapimaga kwanza afya zao!amma anazimimina na kikombe mle maana mtu ana scandal chungu nzima but...nisiseme sana nisije kuhukumu bure.
Labda wanatumia mpira halafu wakimaliza wanamimina wazungu kwenye papuchi
 
Kama kweli wema ana mimba,domo akapime uzazi inawezekana sperm count ni chache au hazina nguvu haiwezekani mda wote huo mimba itafutwe labda ni mipango ya Mungu....ila tiffa mdomo wa katunzi pure,mtoto hafungi mdomo kama katunzi....ngoja muvie iendelee
 
Vunja.mifupa kabla meno ipo. .Mwacheni wema ale ujana. Akizeeka atawazidi busara...

Nyie mkiwa vikongwe mtahadithia kitu gani.. Haaa mjukuu wangu Nilikua naenda kanisani napitia sokoni kununua nyanya, kisha jioni naenda kuimba kwaya kwenye. Mazoezi, narudi nyumbani kupika. Kuna siku sifuria ilishika moto, Sijawahi kwenda disco, Nilikua naogopa kuvaa viatu virefu. ... .mfsssssssss.


Ha ha ha ha[emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom