Jamani I really like Wema ila nahisi reality show inaweza kuibua mascandals mengi zaidi maana maisha ya tv reality yanahitaji scandals ndio yanoge.
naisubiri kwa hamu..i just love wema
Leo nimeona tangazo clouds tv,huyu mwanadada atakua na reality show yake inayoitwa in my shoes,i can't wait aiseeh....
Siku hizi bado unampenda Wema [emoji3]me pia nampenda sana wema ila siku hiz nahuc kama kaupendo kanapungua cjui kwanini
Jina tu la reality show yake kakosea!Wasikilizaji wengi wa show yake ni watz wanao ongea kiswahili fasaha;Kwa nn show yake asiipe jina la kiswahili?
Huyu Wema ana kasumba kuhisi kuongea kiingereza ndiyo bab kubwa!Siku ile kwenye party ys wa TZ-Boston alipokuwa anatusalimia kwa kizungu tulimuona "kavu" tu!