Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,319
Jamani I really like Wema ila nahisi reality show inaweza kuibua mascandals mengi zaidi maana maisha ya tv reality yanahitaji scandals ndio yanoge.
Endless Fame ilikuja na mbwembwe kibao, pamoja na ile nyumba ya kukodi aliyotumia milioni ngapi sijui kui-pimp na promota wake Zamaradi.
Mpaka wa leo nina mashaka kama wema anajua hata fee ya kusajili kampuni Brela.
Siamina kama Mwali na wewe unanunua hizi drama za dada Wema Mkorogo...