WEMA SEPETU in my shoes

WEMA SEPETU in my shoes

Jamani I really like Wema ila nahisi reality show inaweza kuibua mascandals mengi zaidi maana maisha ya tv reality yanahitaji scandals ndio yanoge.

Endless Fame ilikuja na mbwembwe kibao, pamoja na ile nyumba ya kukodi aliyotumia milioni ngapi sijui kui-pimp na promota wake Zamaradi.
Mpaka wa leo nina mashaka kama wema anajua hata fee ya kusajili kampuni Brela.
Siamina kama Mwali na wewe unanunua hizi drama za dada Wema Mkorogo...
 
Leo nimeona tangazo clouds tv,huyu mwanadada atakua na reality show yake inayoitwa in my shoes,i can't wait aiseeh....

Anataka kuishi maisha ya Kim Kardashian bongo. Vitu sabini na nane tofauti. Wapi na wapi bhana. Maisha ya first world country unakuja kuya pestia huku vichakani kajamba nani harufu mniambie inatoka kwangu.
Kama anataka akaishi ulaya. Sana sana hapa atakua ana shoot the whole show in doors.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mamaa WEMAAA! kimbiza kimbiza watu mjin!ukiona unaongelewa saaaaaaaaana!ujue we ndo habari ya mjini!Chezea!
 
Hivi nilisahau vipi kum-wish Wema happy birthday? Mungu akujalie mafanikio makubwa sana katika mwaka ujao!
 
kila mtu T.V show, tuangalie ya nan tuache ya nan?
 
Mbona kila mtu anaimba na unajua kuchagua unayo itaka? Kila mtu ana cheza movie na unachagua? Na kwa show chagua unayo itaka.
Hata hivo ni upepo tu utavuma na utaisha.
 
Jina tu la reality show yake kakosea!Wasikilizaji wengi wa show yake ni watz wanao ongea kiswahili fasaha;Kwa nn show yake asiipe jina la kiswahili?

Huyu Wema ana kasumba kuhisi kuongea kiingereza ndiyo bab kubwa!Siku ile kwenye party ys wa TZ-Boston alipokuwa anatusalimia kwa kizungu tulimuona "kavu" tu!


Kama hujui kizungu uruhusiwi kuangalia ndio maana wameweka jina la kimarekani
 
Back
Top Bottom