Wema Sepetu, inafaa aingie kwenye kitabu cha maajabu cha Guiness

Wema Sepetu, inafaa aingie kwenye kitabu cha maajabu cha Guiness

kwan wewe huyu wema ana ulemavu gani hasa ambao hutaki mwanao aupate?
hivi umeshawah kujiuliza watu wasokuwa macelebrity wanatoka na watu wengi kiasi gani hadi leo muhukumu wanawake wachache hivi?
nakasirika sana mnapofikia hatua ya kumhukumu wema na sio yeye peke yake bali hata Lulu. najiulizaga wale wanaouza miili pale kimboka na sugar rays je wao wametoka na wangapi? mbona hao hawawi point of discussion?

Wee nawe ovyo kabisa, sasa hao wa kimboka nani kawafagailia??
 
Sasa T.I.D anategemea Wema arudi kwake yeye apeche alolo mla unga?
 
hivi sasa kwan yeyey TID kama keshachungulia wengi kwann na yeye asiingie kwenye gueness book??
simply kwasabb wema ni mwanamke ila kwa mwanaume hata akitoka na watu milion bado ana haki sio?
mnajifariji kwa vitabu vya dini kuwapen uwezo wa kuoa awanawake wengi lkn mnasahau kwamba hata cleopatra alokuwa malkia na queen of sheba waliweza kuwatia kiblan wanaume mabandidu wa stail zenu.

kiufupi mwachen wema aishi maisha yake.

Teh teh umeamua kumtetea wema
 
Kweli Wema ni UTAMU wa TAIFA
Hahahahaaa!
hahahahahahaha ze utamu wa taifa hee hivi sa hiz nani anamkanyaga au bado idrisa anagonga ngozi


duh nimepata msamiati mpya leo


UTAMU WA TAIFA.......................... ILE YA KIINGEREZA HAIJANOGA KAMA HIII

TANZANIA SWEETHEART😱
 
[emoji15] kumbe wewe ni "ke"..!!!

naomba mpunga bhasss
TEHETEHE NIONE BADAE BY NOW SHAFANYA MAGUMASH NASUBIRI MPUNGA KWA -MPESA KAMA UNAKAMATA BIA NIONE MAENEO YA MAKUMBUSHO
 
QUOTE="Jambazi, post: 16042089, member: 200911"]It's called freedom of speach why
can't people just except it why
should he have to apologize for his
opinion[/QUOTE]
Did you mean accept or except in your above statement?
 
Huyo dada wa Clouds 360 huwa simuelewi mavazi yake kabisaaaa.
Kama hapo sijui kavaa nini!
Aende na wakati,ni mzuri kama akijijulia mavazi stahiki kwa mwili wake.

Back to TID hizi mambo hazina maana tena,mkongwe kama yeye afanye kazi nzuri kudhihirisha kipaji chake na sio kutafuta kick za kijinga namna hii.
 
TID Afunguka 'Nilikuwa Natoka na Wema Sepetu Alafu Akaniambia Hanitaki..Sasa Hivi Akitaka Kurudi Hakuna Nafasi Tena'



Akiwa Katika Kipindi cha Clouds 360 leo Mwanamuziki TID Amefunguka Kuhusu Kutoka na Wema Sepetu...

"Nilikuwa "namdate" Wema Sepetu akaniambia Sikutaakiiii....tangu kipindi hicho nimekuwa na Wasichana wengi...Ikitokea Wema Sepetu anataka kurudi hakuna nafasi Tena"I'm occupied".

Pia TID Amemuongelea Mwanamuziki Ommy Dimpoz na kusema kuwa yeye ndio aliyemtoa

"Alikuja studio kwangu akiwa anavaa ndala na kupitia kwangu alijuana na watu muhimu kama Ali Kiba na Ruge Mutahaba". Anasema pia yeye anapenda na ni bora afanye video zake hapahapa Tanzania ili kuitangaza nchi yetu na vivutio vyake zaidi.
Eti bora afanye Video hapa hapa kuitangaza Tanzania na vivutio vyake! Toka aanze Ku shoot video Ni video gani alishawahi kutangaza vivutio vya Tanzania? Kati ya yeye anayefanya video hapa na wasanii wanaofanya video nje, nani wanaitangaza Tanzania? Aseme Tu kuwa uwezo WA kutoa Millions 15, 20 au 30 kwenda kufanya video nje sina!
 
Back
Top Bottom