Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Sepengaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWA NINI MKUU JAMANI?! WAKATI MI NAWAZIA NINGEKUWA WA JINSIA YAKO LAZMA NINEJIKOKI HATA NIWEKE RANGE WESE, JAPO NIBINYE HATA ULE MCHINA WAKE NIJUE KAMA WA KWELI AMA LAH... HAHAHAH
Inaweza kuwa aibu kusema hadharani kuwa sema sepetu nduguyo...!
Hata Mimi nilijuaga kidume mzee, kumbe Ni kabebiiiKumbe wewe ni she, aisee!!
Hata Mimi nilijuaga kidume mzee, kumbe Ni kabebiii
Mi ngumu mbaya oohoooUtakuwa umeshamfata inbox wewe.
Ni demu wa sinza aka UTAMU wa TAIFASema sepetu ndio mwanamuziki gani huyo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Huyo dada wa Clouds 360 huwa simuelewi mavazi yake kabisaaaa.
Kama hapo sijui kavaa nini!
Aende na wakati,ni mzuri kama akijijulia mavazi stahiki kwa mwili wake.
Back to TID hizi mambo hazina maana tena,mkongwe kama yeye afanye kazi nzuri kudhihirisha kipaji chake na sio kutafuta kick za kijinga namna hii.
Umbo lake kubwa,angevaa vigauni amazing vya kushona/special vya kumbana kifuani chini vipwaye...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hebu nipe kaujuzi angetakiwa avaejeeee
kwan huonagi kila siku nyuzi zinatupiwa humu nataka kwenda kununua malayya kimboka?Wee nawe ovyo kabisa, sasa hao wa kimboka nani kawafagailia??
hivi sasa kwan yeyey TID kama keshachungulia wengi kwann na yeye asiingie kwenye gueness book??
simply kwasabb wema ni mwanamke ila kwa mwanaume hata akitoka na watu milion bado ana haki sio?
mnajifariji kwa vitabu vya dini kuwapen uwezo wa kuoa awanawake wengi lkn mnasahau kwamba hata cleopatra alokuwa malkia na queen of sheba waliweza kuwatia kiblan wanaume mabandidu wa stail zenu.
kiufupi mwachen wema aishi maisha yake.
Umalaya ndio ustaa wa bongoTID Afunguka 'Nilikuwa Natoka na Wema Sepetu Alafu Akaniambia Hanitaki..Sasa Hivi Akitaka Kurudi Hakuna Nafasi Tena'
Akiwa Katika Kipindi cha Clouds 360 leo Mwanamuziki TID Amefunguka Kuhusu Kutoka na Wema Sepetu...
"Nilikuwa "namdate" Wema Sepetu akaniambia Sikutaakiiii....tangu kipindi hicho nimekuwa na Wasichana wengi...Ikitokea Wema Sepetu anataka kurudi hakuna nafasi Tena"I'm occupied".
Pia TID Amemuongelea Mwanamuziki Ommy Dimpoz na kusema kuwa yeye ndio aliyemtoa
"Alikuja studio kwangu akiwa anavaa ndala na kupitia kwangu alijuana na watu muhimu kama Ali Kiba na Ruge Mutahaba". Anasema pia yeye anapenda na ni bora afanye video zake hapahapa Tanzania ili kuitangaza nchi yetu na vivutio vyake zaidi.