Wema Sepetu, inafaa aingie kwenye kitabu cha maajabu cha Guiness

Ndo mkongwe pekee aliyebaki anatumia sembe wengine chali teh teh
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Hebu nipe kaujuzi angetakiwa avaejeeee
 
Tid anajiita power bank. Sasa nabaki najiuliza power bank ina chaji na kuchajiwa. Na yeye anachajiwa??
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Hebu nipe kaujuzi angetakiwa avaejeeee
Umbo lake kubwa,angevaa vigauni amazing vya kushona/special vya kumbana kifuani chini vipwaye...
High heels na kama akivaa suti basi ziwe za ukweli.
Watangazaji wa kike wa Kenya wananikosha sana mavazi yao.
 
Hamtetei wema anatetea wanawake wote ambao watu wanawahukumu bila kuangalia hali halis au kutafakari wenyew wamefanya mangapi
 
Wee nawe ovyo kabisa, sasa hao wa kimboka nani kawafagailia??
kwan huonagi kila siku nyuzi zinatupiwa humu nataka kwenda kununua malayya kimboka?
AMA WANAOTUPIAGA SIO WANAUME?
 
Huu uzinaona umejaa Sarcasm....Kuanzia kwa huyo TID mpaka kwa wachangiaji.............Eti kapuku mmoja anasema hata yeye hamtaki wema..........Hahahaha....Haya bana
 

Wee waache waringe tu kiboko yao alikuwa Bi Khole bint Said wa Zanzibar aliyeishi kwenye miaka ya 1840 mpaka 1880s. Inasemekana alikuwa akishatembea na mwanamme akimnyamazisha kabisa (akimuua) ili siri yake isitoke nje. Ilikuja kugundulika siri hii kijana mmoja aliposevu na kutoroka kwenye kasri la bibi huyu.

Huyu bibi akiishi Bungi Zanzibar na mabaki ya kasri lake yapo bado (panaitwa kwa Bi hole)
 
Umalaya ndio ustaa wa bongo
 
This is too low for TID! Anazeeka aache poda. Then muda umeshamtupa mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…