Wema Sepetu, inafaa aingie kwenye kitabu cha maajabu cha Guiness

Umalaya ndio ustaa wa bongo
khaaaaaaaaaaaaa mkuu unaua bendi yaani wakichunguliwa na kila mtu wanajiona masta wa kiwango cha phd na kuna wanawake wanawatetea wanataka watoto zao wawe kama huyu kahaba tehetehe
 
Yani hapo TID ndio amesha maliza kuongea? haya ndio u STAR huo?
 
Wanaume wa Dar bwana wana akili pumbavu sana. What is kumdate Wema. Wema ni nani? TID ni nani?

Wanaume kama TID ni majipu.

Wanafedhehesha uanaume
 
Wanaojiuza hatuwezi kuwasema maana yule hana kificho yupo kibiashara.lakini hawa dada zetu wema na lulu wanajifanya watakatifu wakati papuchi zinagongwa na kila raia mwenye vitz ama escudo.
 
Wanaojiuza hatuwezi kuwasema maana yule hana kificho yupo kibiashara.lakini hawa dada zetu wema na lulu wanajifanya watakatifu wakati papuchi zinagongwa na kila raia mwenye vitz ama escudo.
kama ambavyo na hao wanaume wanavyogonga papuchu za kila mwenye hips na lipstick modomoni akiweka na lace wigi
 
TID kweli anakwisha...hadi yeye anataka kumtumia Wema kupata kick..?

Enzi zake TID angejifanya hata Wema hamjui..

Nilisikia walishamalizana kitambo sana,hapa anazuga tu
 
........"Alikuja studio kwangu akiwa anavaa ndala na kupitia kwangu alijuana na watu muhimu kama Ali Kiba na Ruge Mutahaba".....

Duh!! Huu uchokozi dhahiri! !
 
Jamani ingaje anatisha kihistoria, lakini anaonekana yupo poa, ... sugar baby
 
Hatari sasa,
NURA,
TID,
BLUE
KANUMBA
CHAZ BABA
DIAMOND
OMMY DIMPOZ
IDRISA

ILA UZURI WATU WANAOPITIA NYOTA ZINANG'ARAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…