Aaahh, tafadhali Mkuu, mambo ya kikubwa hayatamkwi hadharani. Unapomuona Wema na Wolper ujue kinachoendelea ni uzinzi hakuna jingine. Hao ndicho wanachokijua na ndicho kinachowaweka mjini. Usije shangaa wote wawili wanalala kitanda kimoja na Mdhamini wa pambano.Jaman mwenye kujua wemefata nn atuambie basi
Boss amelipia threesome
Hahaha..Hakuna alieyesema kuna connection ila ni coincidence kwa watu wanojuana dar kuwepo sehemu moja bila kuonana japo hata picha na wanavyopenda kupiga picha ukizingatia wameondoka wakati moja na wote wameelekea sehem moja na china jinsi ilivyo kubwa.
Nilikuwa nina dhania ni kaka yake?Hv hyu kijana wa GSM ndo aljmwagiwaga tindikali?
aman mwenye kujua wemefata nn atuambie basi
Itakuwa wameenda kuliwa tu,Jaman mwenye kujua wemefata nn atuambie basi
Ni kaka yake.Hv hyu kijana wa GSM ndo aljmwagiwaga tindikali?
Weeeeh,watu wanavaa ralph lauren na calvin clain afu unasema hawana mbwembwe tafauti yao ni kuwa wanavaa vitu vizuri alafu vya bei kali,ila kwa asiyejua ataona kuwa ni vya kawaida,ukiwaangalia kuanzia juu mpaka chini hapo sio chini ya laki tano worth of clothing onlySjui kwa nini watu wenye pesa hawanaga mbwembwe kwenye swala la mavazi
Dah shukran mkuu kwa kunitoa ushamba.....Basi mi naona mshkaji yuko simpo balaaWeeeeh,watu wanavaa ralph lauren na calvin clain afu unasema hawana mbwembwe tafauti yao ni kuwa wanavaa vitu vizuri alafu vya bei kali,ila kwa asiyejua ataona kuwa ni vya kawaida,ukiwaangalia kuanzia juu mpaka chini hapo sio chini ya laki tano worth of clothing only