KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,519
- 6,518
Aaahh, tafadhali Mkuu, mambo ya kikubwa hayatamkwi hadharani. Unapomuona Wema na Wolper ujue kinachoendelea ni uzinzi hakuna jingine. Hao ndicho wanachokijua na ndicho kinachowaweka mjini. Usije shangaa wote wawili wanalala kitanda kimoja na Mdhamini wa pambano.Jaman mwenye kujua wemefata nn atuambie basi