Wema Sepetu, Jackline Wolper, Bosi wa GSM ndani ya China kunani?

Wema Sepetu, Jackline Wolper, Bosi wa GSM ndani ya China kunani?

Jaman mwenye kujua wemefata nn atuambie basi
Aaahh, tafadhali Mkuu, mambo ya kikubwa hayatamkwi hadharani. Unapomuona Wema na Wolper ujue kinachoendelea ni uzinzi hakuna jingine. Hao ndicho wanachokijua na ndicho kinachowaweka mjini. Usije shangaa wote wawili wanalala kitanda kimoja na Mdhamini wa pambano.
 
Hakuna alieyesema kuna connection ila ni coincidence kwa watu wanojuana dar kuwepo sehemu moja bila kuonana japo hata picha na wanavyopenda kupiga picha ukizingatia wameondoka wakati moja na wote wameelekea sehem moja na china jinsi ilivyo kubwa.
Hahaha..
 
Nitoke nje kidogo ya mada hiv hiyo GSM huwa inahusika na nini hasa,maana ni GSM kila kona siku hiz
 
jamani mwenye connection anipe nafanana sana na huyo mwarabu salaah tena kinyama hadi huo upara.mwenye namba yake anipatie sio nakufa maskini tu naendesha bodaboda mwarabu mimi kumbe ndugu yangu anapanda ndege kwenda china kuoga tu na kurudi
 
Sjui kwa nini watu wenye pesa hawanaga mbwembwe kwenye swala la mavazi
Weeeeh,watu wanavaa ralph lauren na calvin clain afu unasema hawana mbwembwe tafauti yao ni kuwa wanavaa vitu vizuri alafu vya bei kali,ila kwa asiyejua ataona kuwa ni vya kawaida,ukiwaangalia kuanzia juu mpaka chini hapo sio chini ya laki tano worth of clothing only
 
Dah shukran mkuu kwa kunitoa ushamba.....Basi mi naona mshkaji yuko simpo balaa
 
Back
Top Bottom