Wema Sepetu, Jackline Wolper, Bosi wa GSM ndani ya China kunani?

Asante mkuu maana nilikuwa najiuliza huyu jamaa ana inshu gani hasahasa maana sasa jina lake huwez likosa kila leo
Hawa watu wametengeneza sana pesa wakati wa mkwere,ndio walikuwa wanamiliki home shopping center
 
Get ur facts correct GSM hamiliki hizo hisa Amana Bank..according to BOT regulations mtu mmoja haruhusiwi kumiliki hisa zaidi ya asilimia 20% so acha kupotosha though sikatai jamaa ana mkwanja
 
Sijaona connection yoyote katika hizo picha....by the way wamepeleka unga wa sembe huko

Kama wanauleta huku je? Vyombo vyetu vya usalama sijui kwa nini havipo macho kwenye kuconnect dots kama hizi?!
 

Watanzania wa leo sio wale wa jana. Kuna jambo hapo wala sio uzinzi.
 
Kama wanauleta huku je? Vyombo vyetu vya usalama sijui kwa nini havipo macho kwenye kuconnect dots kama hizi?!
Mkuu sio kwa awamu hii. Ukitaka kupotea mazima jihusishe na biashara haramu kama unga, nikutoe hofu tu vyombo vya usalama vipo makini sana
 
Wakiwa huko nje ya nchi China au sehenu yoyote hapa duiniani , wewe inakuhusu nini? au inakuumiza nini? ilipendeza uwaulize wao wenyewe kuwa wameenda kufanya nini huko.
 
Naona wadogo zake ndio wanaendesha biashara,Said "Mahonda" saad yuko kimya sana toka akumbwe na lile dhoruba
Saidi naskia karudi kwao umangani,na wale hawana biashara bongo pekee so unaweza anasimamia biashara zao za huko.
 
Naona wadogo zake ndio wanaendesha biashara,Said "Mahonda" saad yuko kimya sana toka akumbwe na lile dhoruba
Kitu alichofanyiwa na jina lilichafuliwa sana nadhani kimemfanya awe mwoga na mpole;lakini itakuwa he is the man behind the game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…