Dibo10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,311
- 1,594
Hawa watu wametengeneza sana pesa wakati wa mkwere,ndio walikuwa wanamiliki home shopping centerAsante mkuu maana nilikuwa najiuliza huyu jamaa ana inshu gani hasahasa maana sasa jina lake huwez likosa kila leo