Wema Sepetu, Jackline Wolper, Bosi wa GSM ndani ya China kunani?

Wema Sepetu, Jackline Wolper, Bosi wa GSM ndani ya China kunani?

Asante mkuu maana nilikuwa najiuliza huyu jamaa ana inshu gani hasahasa maana sasa jina lake huwez likosa kila leo
Hawa watu wametengeneza sana pesa wakati wa mkwere,ndio walikuwa wanamiliki home shopping center
 
1476846483771.png
 
Huyu ana kampuni za Logistics ana maduka Shopping Malls 2 msasani na Pugu ana Yard kama 3 hiv na huku Kurasin anajenga moja ana hisa Bank ya Amana almost 70% Ana Kampun ya matangazo Yale ya Barabaran zile Screen Kubwa barabarani,Anauza Spare za malori ya Kichina hizi Howo CHNT na FAW na
Get ur facts correct GSM hamiliki hizo hisa Amana Bank..according to BOT regulations mtu mmoja haruhusiwi kumiliki hisa zaidi ya asilimia 20% so acha kupotosha though sikatai jamaa ana mkwanja
 
Sijaona connection yoyote katika hizo picha....by the way wamepeleka unga wa sembe huko

Kama wanauleta huku je? Vyombo vyetu vya usalama sijui kwa nini havipo macho kwenye kuconnect dots kama hizi?!
 
Aaahh, tafadhali Mkuu, mambo ya kikubwa hayatamkwi hadharani. Unapomuona Wema na Wolper ujue kinachoendelea ni uzinzi hakuna jingine. Hao ndicho wanachokijua na ndicho kinachowaweka mjini. Usije shangaa wote wawili wanalala kitanda kimoja na Mdhamini wa pambano.

Watanzania wa leo sio wale wa jana. Kuna jambo hapo wala sio uzinzi.
 
Kama wanauleta huku je? Vyombo vyetu vya usalama sijui kwa nini havipo macho kwenye kuconnect dots kama hizi?!
Mkuu sio kwa awamu hii. Ukitaka kupotea mazima jihusishe na biashara haramu kama unga, nikutoe hofu tu vyombo vya usalama vipo makini sana
 
Kwenye Instagram zao mastaa hao wamepost waki safiri toka dar siku moja na wote wamepost picha wakiwa dubai same day then wote wamepost wakiwa china same place ila hawajapig picha pamoja.. Ambapo mdogo wa GSM counselor Salaah amepost akiwa Canton fair na wema na wolper wakipost wakiwa canton railway station same area ila wamekuwa makin kutopiga picha pamoja au labda hawafahamiani[emoji23]. Au labda ma baby wao idriss na harmonize ndo wamegharamia safari yao ya china.. Au labda yule MCM aliyempost kawasponsor. View attachment 419772View attachment 419773View attachment 419776View attachment 419778View attachment 419779View attachment 419782View attachment 419783
Wakiwa huko nje ya nchi China au sehenu yoyote hapa duiniani , wewe inakuhusu nini? au inakuumiza nini? ilipendeza uwaulize wao wenyewe kuwa wameenda kufanya nini huko.
 
Naona wadogo zake ndio wanaendesha biashara,Said "Mahonda" saad yuko kimya sana toka akumbwe na lile dhoruba
Saidi naskia karudi kwao umangani,na wale hawana biashara bongo pekee so unaweza anasimamia biashara zao za huko.
 
Naona wadogo zake ndio wanaendesha biashara,Said "Mahonda" saad yuko kimya sana toka akumbwe na lile dhoruba
Kitu alichofanyiwa na jina lilichafuliwa sana nadhani kimemfanya awe mwoga na mpole;lakini itakuwa he is the man behind the game
 
Back
Top Bottom