Ee bhana eeh huu mwaka umeanza na mbio sana. Huu mwaka utaisha haraka maana si kwa raha hizi!! Ukiangalia mbele raha nyuma raha pembeni raha!! Ni raha juu ya raha!!
Baada ya jux kufunga ndoa, na Hamisa nae anafunga ndoa tarehe 26 mwezi huu wa pili.
Tetesi ambayo ni hoti ni kwamba, Wema Sepetu nae anafunga ndoa mwezi wa nne baada ya ramazani kuisha. Yeye amekataa ndoa za futari ameamua asubiri ramazani iishe ndio afanye yake!! Anafunga ndoa na kigogo mmoja mzito wa serikalini.
Unaambiwa ndoa hiyo itakuwa siri siri. Waja mtaoneshwa mapicha tu. Humo harusini marufuku kuingia na simu au camera!
Hongera ziwafikie wote watakaoingia kwenye ndoa mwaka huu! Mungu atie neema kwenye ndoa zenu.