Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Kwa hyo ameona watu wa singida wa na shida sana wamekosa mtu msafi, kwa nn asigombee kupitia Dar anakoishi au dharau zenyewe hz hakika sitakubali ni dharauliwe kamwe ntasimama kidete asipite hakika huyu mtu ni mchafu hatufai narudia tena hatufai
 
Jamani naomba uchaguzi huu tupinge kuwepo kwa hawa wabunge wa viti maalum.nawaombeni sana.hatuoni faida yao kabisa!hlf naona wengi waliojazwa pale wengi ni wanawake na wadada warembo tu manake nn?
 

Mkuu pengine ni kik ya kupitisha ile sheria ya mitandaoni hawa jamaa ni shidaaaa
 
Suala la maadili ndio tatizo...muache aende akapitishe vazi la Taifa
 
kura atapigiwa Nigeria haijui ccm huyo

Lol anataka kujulikana ka m Ethiopia aliyeolewa na gavana huko Nigeria nae apate. Sisiemu wamemtumia bila kumpa cheo alichohaidiwa, anaweweseka sasa hakuna vya bure kama haujui vya dhamani.

Embu jisome nimetoa kitaa

 
Bajeti inajadiliwa na nani kule, hakuna mtu bungeni mkuu! Watu wote wanapigania roho zao majimboni. Spika hayupo, Naibu Spika hayupo, Mawaziri hawapo! Wamebaki manaibu mawaziri wachache sana. Bajeti ya nchi inajadiliwa lakini wenye dhamana hawapo. Siamini hata kama waziri wa fedha yupo manake namuona Malima tu huku Mwigulu akitafuta wadhamini mikoani. Waziri Mkuu anasaka wadhamini, mawaziri lukuki wanaska wadhamini. Serikali kama haipo Bungeni ma wabunge kama hawapo Bungeni. Siku ya kupitisha bajeti itapidi wapige kura kwa simu/whatsapp kama zile kura za Bunge la Katiba.
 
Kweli nchi hii majanga wema awe mbunge?
Mimi nafikiri ifike mahala huu ubunge uundiwe sheria Kali na vigezo ili unapofikiria Kuwa mbunge ujiulize mala mbili kama unastahili.

Kwa nini asililizike na hizi kazi anazozifanya za kujipipiga picha chafu na kuzirusha mitandaoni ? au hazilipi?
 
kwan kuna tatizo jaman..mnamuona mchafu wa tabia..ila kumbuken hakuna aliye perfect..muachen afanye maamuzi yake..sijaona haja ya kumumnanga binti ya sepetu.
 
Ukome kutwambia mambo ya wema jf. Huku tunajadili Tanganyika yetu inavyotakiwa kuwa siyo umbea. Kaandike kwenye magazeti yenye rangi huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…