Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongozi wetu na hatma ya Tanzania
Hii kik ya kumfanya aishi mjini huyu demu nyie hamjui nn hamna cha ubunge wala mavi ya ubunge huku bajeti inajadiliwa huku mnaletewa wema msahau kujadili ya maana muanze kumjadili wema hivi kwa akili zenu kabisaaaaaa kabisaaa wema awe mbungeee mbona hii ni zaidi ya tom n jerry,,,,,,, mmmmmhh kwa ccm kwa kutoa miujiza nchi hii hawashindwi alafu na yy utamkuta kwenye kamati ya sieejiiiii:sly::sly::sly::sly::sly::sly:
Huyu si msanii tu kama Afande Sele, Mr. Sugu, Prof. j nk?Nafsi yangu inamkataa miaka 800 na watakaomchagua ni vicheche wenzake
Bajeti inajadiliwa na nani kule, hakuna mtu bungeni mkuu! Watu wote wanapigania roho zao majimboni. Spika hayupo, Naibu Spika hayupo, Mawaziri hawapo! Wamebaki manaibu mawaziri wachache sana. Bajeti ya nchi inajadiliwa lakini wenye dhamana hawapo. Siamini hata kama waziri wa fedha yupo manake namuona Malima tu huku Mwigulu akitafuta wadhamini mikoani. Waziri Mkuu anasaka wadhamini, mawaziri lukuki wanaska wadhamini. Serikali kama haipo Bungeni ma wabunge kama hawapo Bungeni. Siku ya kupitisha bajeti itapidi wapige kura kwa simu/whatsapp kama zile kura za Bunge la Katiba.Hii kik ya kumfanya aishi mjini huyu demu nyie hamjui nn hamna cha ubunge wala mavi ya ubunge huku bajeti inajadiliwa huku mnaletewa wema msahau kujadili ya maana muanze kumjadili wema hivi kwa akili zenu kabisaaaaaa kabisaaa wema awe mbungeee mbona hii ni zaidi ya tom n jerry,,,,,,, mmmmmhh kwa ccm kwa kutoa miujiza nchi hii hawashindwi alafu na yy utamkuta kwenye kamati ya sieejiiiii:sly::sly::sly::sly::sly::sly:
Fomu za ubunge ccm bado hazijaanza kutolewa. Naona habari haiko kweli