Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
kwa mwendo huu wa kufuta post na picha za madame hapa jukwaani basi inawezekan kweli akapitishwa maana mmmnh!!Ngoja nipige mzigo kwa muhindi
Hakika Wema akiwa Mbunge ....nitashangaa sana....! Lakini kwa kule singida hawezi pata na sidhani kama ana harakati zozote kwa Chama cha mapindizu!
Ataenda kugawa mbunye tu bungeni huyo .........
hicho kisauti ndio chenyewe , akikohoa tu waziri anajenga barabara
Haha sema itakua chakla ya wabunge hii
Wacha nikumegee siri tu kwa faida yako hili ujiandae kisaikolojia, ni hivi mimi nilikuwa karibu na marehemu Mpakanjia najuwa kilichofanyika mpaka Amina Chifupa anashinda dakika za mwisho Meddy ndio alikubali kutoa million 100 zake ili ajilipe kwenye gari la ubunge.
Mimi naijuwa Ccm kuliko unavyoweza kufikiri wewe ingawa siko karibu na Wema na wala hatujuani ila mimi najuwa kuusoma mchezo huyo mrembo hajakurupuka wala hauzi sura ni kwamba anakwenda bungeni kitakachomkwamisha tu ni kura za UKAWA zikizidi uwingi na Ccm wabunge chupi wake wanapigwa rula na tume ya uchaguzi.
Kwahiyo ili wewe na warumi msihame nchi inabidi muhasishe wananchi wawapigie Kura UKAWA kwa wingi ili kupunguza idadi ya wabunge chupi kutoka Ccm.
Hahahahaha hakika nilishangaa kwann uncle Vasco dagama hakunchapa na ka udc kakisela maana naskia ilikua chakula yake pia
haa haa ndo kazi ya vitu maalumu...
Evelyn Salt wamekuambia ni VITU maalum hapo hakuna jimbo ila mkoa. Na kwa SISIEM hilo linawezakana, viburudisho kipindi kirefu kama hiki cha Budget lazima viwepo.
Hakika Wema akiwa Mbunge ....nitashangaa sana....! Lakini kwa kule singida hawezi pata na sidhani kama ana harakati zozote kwa Chama cha mapindizu!
Ndio hapo sasa..hata cheo cha umesenja hana kwenye chama..from no whre tu awe mbunge...
Halafu watu wanamfananisha amina chifupa na huyu michirizi..Amina alikua ni mwanachama damu na active na tena alikua ni katibu wa vijana wa ccm..sasa asipate viti maalum na shughuli za chama zilimuhusu kisawa sawa..hata vick alikua ni active member kule kwao mwanza...huyu ni active instagram. ..wakisema mbunge wa viti maalum insta atashinda..alitakiwa ajipendekeze kwenye shughuli za ccm japo ht kwa 2 yrs...angetumia jina lake kiccm ...lakini hapa...kachemshaaaaaaa...ubunge sio lelemama
Haha kumbe ndio kazi ya viti maalum sikujua haha
Unajaza porojo tu humu huyo Profesa Muhongo anayegombea urais aliwahi kufanya kazi gani za chama zaidi ya kupewa ubunge wa bure na uwaziri?
Na wewe jiandae kisaikolojia mwaka huu kuna kitu kinakuja kutokea kile ambacho hukutarajia na wala usingependa uone kikitokea.
Unajaza porojo tu humu huyo Profesa Muhongo anayegombea urais aliwahi kufanya kazi gani za chama zaidi ya kupewa ubunge wa bure na uwaziri?
Na wewe jiandae kisaikolojia mwaka huu kuna kitu kinakuja kutokea kile ambacho hukutarajia na wala usingependa uone kikitokea.
yaan hapo alipo azunguke wilaya zote za singida,na watakua wengi Tu sio yeye peke yakee ,akishapigiwa kura mkoani watapita baadhi wanaenda tena dodoma huko sasa ndio Kuna mnyukano balaaa,namuombea apite salama
Bahati mbaya sibishanagi na timu mavi mavi....byeeee
Hii inaitwa panya katoka shambani kaingia kwenye ghala ..... Kama akifanikiwa kupata iyo nafasi Akina mama wenye waume zenu mule bungeni salini sana maana ......nafkili nimeeleweka