Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

kwa mwendo huu wa kufuta post na picha za madame hapa jukwaani basi inawezekan kweli akapitishwa maana mmmnh!!Ngoja nipige mzigo kwa muhindi

Khe! Kumbe umeajiliwa? Unatufatisha majobless? Shauri yako subiri baniani akufukuze kazi uone hata pesa ya bundle ya kuingia humu itakavyokuwa mgogoro. Wenzio hapa ndio ofisini usitufatishe unapotea.
 
Kila mtu sasa anautaka ubunge kwasababu ya maslahi binafs, for real wema hawez kuwa kiongoz kwa level hiyo ye na aendelee kuigiza na kugombania mabwana na kajala tu! Ila K haiongop inaweza kumpa ubunge akiigawa kwa vibopa kama kawaida yake
 
Hakika Wema akiwa Mbunge ....nitashangaa sana....! Lakini kwa kule singida hawezi pata na sidhani kama ana harakati zozote kwa Chama cha mapindizu!

Ndio hapo sasa..hata cheo cha umesenja hana kwenye chama..from no whre tu awe mbunge...
Halafu watu wanamfananisha amina chifupa na huyu michirizi..Amina alikua ni mwanachama damu na active na tena alikua ni katibu wa vijana wa ccm..sasa asipate viti maalum na shughuli za chama zilimuhusu kisawa sawa..hata vick alikua ni active member kule kwao mwanza...huyu ni active instagram. ..wakisema mbunge wa viti maalum insta atashinda..alitakiwa ajipendekeze kwenye shughuli za ccm japo ht kwa 2 yrs...angetumia jina lake kiccm ...lakini hapa...kachemshaaaaaaa...ubunge sio lelemama
 
Wema kumbe ana asili ya Singida, basi haishangazi ni kwanini yupo vile!

Livingstone Lusinde (kibajaj)+Wema Sepetu+Mzee Yusuph+Khadija Kopa+Aunt Ezekiel+Jacob Steven+Mrisho Mpoto+=?

Hao wote niliotaja wameonesha nia ya kuwa wabunge wa chama cha Kawaida!
 
Wacha nikumegee siri tu kwa faida yako hili ujiandae kisaikolojia, ni hivi mimi nilikuwa karibu na marehemu Mpakanjia najuwa kilichofanyika mpaka Amina Chifupa anashinda dakika za mwisho Meddy ndio alikubali kutoa million 100 zake ili ajilipe kwenye gari la ubunge.

Mimi naijuwa Ccm kuliko unavyoweza kufikiri wewe ingawa siko karibu na Wema na wala hatujuani ila mimi najuwa kuusoma mchezo huyo mrembo hajakurupuka wala hauzi sura ni kwamba anakwenda bungeni kitakachomkwamisha tu ni kura za UKAWA zikizidi uwingi na Ccm wabunge chupi wake wanapigwa rula na tume ya uchaguzi.

Kwahiyo ili wewe na warumi msihame nchi inabidi muhasishe wananchi wawapigie Kura UKAWA kwa wingi ili kupunguza idadi ya wabunge chupi kutoka Ccm.

uwe unajaribu kusamaraiz basi ,wewe kila mtu upo nae karibu,kila kitu unakijua,,,,ulishawah sema unafahamiana na wema Leo hamfahamianii,,hizo kura za ubunge vitimaalumu nazijua Sanaa na Kati ya wapiga kura nami nimo pia

Halaf huyu mbwa wenu SI mnasema Ana nyota kwanin asigombee ubunge wenyewe au angegombea urais kabisa maana Ana nyota au nyota ipo kwa Daimond Tu kwa kuwapaisha kina mirror nyota imegoma hata tuzo moja ya kuchambia wakakosaa,

Minasubiri huo mwezi wa saba ndio mchuano,kumbuka lazima ahonge pia wilaya zote na unawajua uwt na vijana,angalia asije umbuka
Mim siwez Hama hata apate cheo cha Mungu
 
Last edited by a moderator:
Evelyn Salt wamekuambia ni VITU maalum hapo hakuna jimbo ila mkoa. Na kwa SISIEM hilo linawezakana, viburudisho kipindi kirefu kama hiki cha Budget lazima viwepo.

nikweli mkuu angalau kuwaondolea wakubwa uchovu...
 
Last edited by a moderator:
Ndio hapo sasa..hata cheo cha umesenja hana kwenye chama..from no whre tu awe mbunge...
Halafu watu wanamfananisha amina chifupa na huyu michirizi..Amina alikua ni mwanachama damu na active na tena alikua ni katibu wa vijana wa ccm..sasa asipate viti maalum na shughuli za chama zilimuhusu kisawa sawa..hata vick alikua ni active member kule kwao mwanza...huyu ni active instagram. ..wakisema mbunge wa viti maalum insta atashinda..alitakiwa ajipendekeze kwenye shughuli za ccm japo ht kwa 2 yrs...angetumia jina lake kiccm ...lakini hapa...kachemshaaaaaaa...ubunge sio lelemama

Unajaza porojo tu humu huyo Profesa Muhongo anayegombea urais aliwahi kufanya kazi gani za chama zaidi ya kupewa ubunge wa bure na uwaziri?

Na wewe jiandae kisaikolojia mwaka huu kuna kitu kinakuja kutokea kile ambacho hukutarajia na wala usingependa uone kikitokea.
 
Haha kumbe ndio kazi ya viti maalum sikujua haha

yaan hapo alipo azunguke wilaya zote za singida,na watakua wengi Tu sio yeye peke yakee ,akishapigiwa kura mkoani watapita baadhi wanaenda tena dodoma huko sasa ndio Kuna mnyukano balaaa,namuombea apite salama
 
Unajaza porojo tu humu huyo Profesa Muhongo anayegombea urais aliwahi kufanya kazi gani za chama zaidi ya kupewa ubunge wa bure na uwaziri?

Na wewe jiandae kisaikolojia mwaka huu kuna kitu kinakuja kutokea kile ambacho hukutarajia na wala usingependa uone kikitokea.

Bahati mbaya sibishanagi na timu mavi mavi....byeeee
 
Unajaza porojo tu humu huyo Profesa Muhongo anayegombea urais aliwahi kufanya kazi gani za chama zaidi ya kupewa ubunge wa bure na uwaziri?

Na wewe jiandae kisaikolojia mwaka huu kuna kitu kinakuja kutokea kile ambacho hukutarajia na wala usingependa uone kikitokea.

na kisipotokea utampa nini
Yaan wewe umeona ajabu wema kugombea ubunge vitimaalumu,yaan naona umepagawa na kuona ni big deal lo
 
yaan hapo alipo azunguke wilaya zote za singida,na watakua wengi Tu sio yeye peke yakee ,akishapigiwa kura mkoani watapita baadhi wanaenda tena dodoma huko sasa ndio Kuna mnyukano balaaa,namuombea apite salama

Ila akishaenda kuwa mbunge kapotea kwenye fame mana ubunge + fame haviendani tena kwa maadili ya ccm watamtimua. Atapoteza mashabiki kisa siasa
 
Back
Top Bottom