Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Umepanic sana, si wewe kila siku unahubiri nothing serious hapa?! Haya na wewe uandishi wa magazeti umeanza lini?

Retreave hapa bandiko ninalosema mimi na Wema tunafahamiana nitaomba ban kwa Mods kwa kuwadanganya wana JF.
 
yaan anamuona wema kama malaika khaa sijui kala maharage ya chunyaa huyu

Atajibebaaa..si ndio anawaeka mjini..huyu km Sio kadinda ni wakuache...chickstypaman
I usually dnt waste my tym arguing wt them....cheeers bby Dinazarde
 
Last edited by a moderator:

Ahahahaha!!sawa matola ngoja tu mi nijiandae kuhama JF mwaka huu maana nitapata aibu ya mwaka
 
Atajibebaaa..si ndio anawaeka mjini..huyu km Sio kadinda ni wakuache...chickstypaman
I usually dnt waste my tym arguing wt them....cheeers bby Dinazarde

hhhhhaaaa yaan matola banaa ni wa kumzoea ni kaka yetu humu jf
 
Last edited by a moderator:
Umepanic sana, si wewe kila siku unahubiri nothing serious hapa?! Haya na wewe uandishi wa magazeti umeanza lini?

Retreave hapa bandiko ninalosema mimi na Wema tunafahamiana nitaomba ban kwa Mods kwa kuwadanganya wana JF.

hakuna aliepanic humu kisa huyo mtu mungu wenu,SI Hua unasahau,ningekua tyta ningetafuta na kukukeletea Hilo bandiko lako
 
Ila akishaenda kuwa mbunge kapotea kwenye fame mana ubunge + fame haviendani tena kwa maadili ya ccm watamtimua. Atapoteza mashabiki kisa siasa

Wewe kweli akili zako ni za kushikiwa, watu wanataka umaarufu ili waingize pesa sasa akiwa mbunge mshahara million 14 kwa mwezi, Vx la ubunge, sitting allowance safari za ulaya, diplomats passport na kupitia.vip lounge hivi hapo atake umaarafu mavi wa Instagram tena? Naona wewe umechanganyikiwa.

Last but list kiinuwa mgongo cha mbunge kwa sasa ni million 300.
 
Bado Faiza Ally kuchukua fomu huko sisiem
 
Bado Faiza Ally kuchukua fomu huko sisiem

ahahahahaa!!tena Faiza akitaka ubunge na mimi nitampa wallah tena!kwanza hana michirizi,anahamasisha watu wavae pampers kwenye birthday,anatetea haki za wanawake
 
Reactions: H-K
hakuna aliepanic humu kisa huyo mtu mungu wenu,SI Hua unasahau,ningekua tyta ningetafuta na kukukeletea Hilo bandiko lako

Ngoja nimuite Tyta mimi simjui Wema wala hanijui nimewahi kukaa naye meza moja mara moja tu wakati anatoka na Chalz Baba, Chalz Baba ni mwanangu mwenyewe wa ukweli. Simjui Wema wala hanijui. Period.
 
Last edited by a moderator:

We niaje ww kwanza ke au me ww nisije nikawa najibizana na mtu anaendeshwa na emotions" wat am saying ni kua akiwa mbunge atakua biz na ubunge wake hataweza pata time kwa fans wake kama zamani ... ustar utapungua tu kama alivyo Sugu japo pesa atapata bt hatasikika kama zamani.
 
Kachoka kukaliwa na watu wa mtaani anataka kuwa kiti cha waheshimiwa, kila la heri.
 
Atajibebaaa..si ndio anawaeka mjini..huyu km Sio kadinda ni wakuache...chickstypaman
I usually dnt waste my tym arguing wt them....cheeers bby Dinazarde

Tujifunze kuwa na akiba ya maneno, kwanza nikikureport kwa mods watakupiga ban for name calling lakini sipendi iwe hivyo pili uelewe humu ninao my genuine friends tunaoujuwa nje ya JF kwenye biashara zetu zingine kwahiyo kama huna uvumilivu wa mambo ya humu ni bora ukawa unamuignore mtu tu, heshima ni kitu cha bure wala hainunuliwi. Kwahiyo usiuze dharau kwa kununuwa heshima.
 
Last edited by a moderator:

Wewe bado unauguwa Wemaphobia mwenzako anapenda Fame ili apate pesa sasa kwenye ubunge umaarufu si ndio unazidi? Hata wale wasiokuwa na muda na ujingaujinga wa Insta si watakuwa wanamuona live runingani? Open ur eyes.
 
CCM watampa tu ili awe anawafanyia massage wakubwa, ingekuwa chadema kwa maadili yake tusingempa. Very disgusting!!
 
CCM watampa tu ili awe anawafanyia massage wakubwa, ingekuwa chadema kwa maadili yake tusingempa. Very disgusting!!

Acha unafki bila Zitto Kabwe kudhibitiwa unajuwa kilichokuwa kinataka kuendelea Chadema kwenye viti maalum?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…