binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Bajeti inajadiliwa na nani kule, hakuna mtu bungeni mkuu! Watu wote wanapigania roho zao majimboni. Spika hayupo, Naibu Spika hayupo, Mawaziri hawapo! Wamebaki manaibu mawaziri wachache sana. Bajeti ya nchi inajadiliwa lakini wenye dhamana hawapo. Siamini hata kama waziri wa fedha yupo manake namuona Malima tu huku Mwigulu akitafuta wadhamini mikoani. Waziri Mkuu anasaka wadhamini, mawaziri lukuki wanaska wadhamini. Serikali kama haipo Bungeni ma wabunge kama hawapo Bungeni. Siku ya kupitisha bajeti itapidi wapige kura kwa simu/whatsapp kama zile kura za Bunge la Katiba.
Nina hakika bado mnayo yale malimao ya Lambojini ambayo jana imeshindikana kuwalambisha watu, basi muyahifadhi Wema Sepetu anakidhi vigezo vyote vya kuwa mbunge wa vitu maalum ccm tena anavyo vigezo vya ziada.
Jiandaeni kisaikolojoa kama mlikuwa hamuijui ccm sasa ndio mtaijuwa na ndio mtaelewa ni kwanini siku zote tunapambana kuing'oa ccm madarakani.
Hivi mnamuonea Wema tu hawa kina Vicky Kamata, Amina Chifupa Mboni Mhita and likes wana sifa zipi?
Nawahakikishia Wema atashinda kwa kishindo tena kwa ushindi wa mafuriko ndio mtaijuwa ccm muache kuikatikia viuno.
Wala usingoje mimi nakuhakikishia Wema anasubili tu kuapishwa, kumbuka hajakurupuka huyu hii nchi imeshikwa na watu wakiamuwa uwe Rais utakuwa sembuse ubunge?
Hifadhi hii post yangu utayakumbuka maneno yangu, tena bora hata Amina Chifupa alishinda kwa zile million 100 ambazo Mpakanjia alizitowa dakika za majeruhi.
Wema atauchukuwa Ubunge free free kabisaa mchana kweupe.
Ndio hapo sasa..hata cheo cha umesenja hana kwenye chama..from no whre tu awe mbunge...
Halafu watu wanamfananisha amina chifupa na huyu michirizi..Amina alikua ni mwanachama damu na active na tena alikua ni katibu wa vijana wa ccm..sasa asipate viti maalum na shughuli za chama zilimuhusu kisawa sawa..hata vick alikua ni active member kule kwao mwanza...huyu ni active instagram. ..wakisema mbunge wa viti maalum insta atashinda..alitakiwa ajipendekeze kwenye shughuli za ccm japo ht kwa 2 yrs...angetumia jina lake kiccm ...lakini hapa...kachemshaaaaaaa...ubunge sio lelemama
upumbavu at its best! Kha!vote vote votee.
Sambaza upendo.
Mtafurahi na shoo mwaka huu habari ya mujini ni kuvote for davido hutaki pasuka.
Best male.... Davido.
Best collab.....david and uhur.
Best live....mr flavour
sisi tuna deal na category tatu tuu.
Chezeiyaaaa
hahaha muheshimiwa mbunge wa makahaba! Kwi kwi kwi kwi!kumbe wema ni mrangi?
kwi kwi kwi! Ule ni mtambo mwingine! Yule dada sio mzima! Wema angetakiwa kuwa mbunge wa makahaba, period, hao labda angeweza kuwaongoza!ahahahahaa!!tena faiza akitaka ubunge na mimi nitampa wallah tena!kwanza hana michirizi,anahamasisha watu wavae pampers kwenye birthday,anatetea haki za wanawake
nakwambia these things only in tanzania! Mmmmxxxxiiiieeewwwww! Kuna vitu vinauma mnoooooo!ipo siku tutaingiza wacheza viduku wote bungeni...
Eti huyu akae na tundu lissu wajadili mikataba ya kimataifa...
Siasa zimekuwa nyepesi sana tanzania...
kimboka yote itamchagua awe mbunge wao, kama ni hivyo hata mimi nampa kura yangu na si vinginevyo! Puuuuuuuuuuuuuuuuu! Nchi hii????? Aliyeturoga atusamehe wallahi!nasubiri akipita ndio nitaongea
ofkoz kwa insta makapuku wenzie watamchagua! Hafai kuongoza hata chekechea, akamuongoze nani huyu kahaba jamani??? Mbona tumelala watanzania??? Lulu naye agombee akakolimbe watu bungeni ndiyo iliyobakia kha!yeye na maza wke akili zao zinaendana ccm mwaka huu haichukui vilaza........labda aende viti maalum insta
nakwambia these things only in tanzania! Mmmmxxxxiiiieeewwwww! Kuna vitu vinauma mnoooooo!
akili za kimatope wallahi! Nicheke mimi nipite na zangu! Haya ngoja tusubiri!mhhh.... Ivi unajua anaweza ingia mjengoni.! Media hasa clouds wama m back up.
Lets wait.