Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Ok, halafu raisi ndio anakuja kuwatangaza aliowachagua baadae, baada ya wabunge wengine kushinda?


hapanaa,akipigiwa kura na hao wajumbe wa baraza vijana mkoa wa singinda,Kisha sasa mnyukano unakua Dodoma wanapigiwa tena kura na mkutano mkuu taifa hapo sasa akishinda ameshinda ,
 
Bora uongee sahivi, make huo muda unaongoja kuongea utakua kikongwe mnooo wa kuanika juani kama nguo vile
ubunge sio tuzo za watu kwamba kura zitatoka Instagram


mwezi wa saba SI mbali ,halaf kwanini vitimaalumu SI angegombea ubunge wenyewe tu
 
Huyu kweli hastaili kura za kupita huko CCM maana amekazania kutaka wasanii wasitangaze nchi yetu ya Tanzania, embu wana CCM mutuletee CV yake tuione pia sababu sijawahi muona akirusha akiwa katika ukamanda akina Juliet mbona wao wanachakarika na wenzake yeye anaubavu gani kuona atapita? Au ndio zile za mab.abu?
 
Hafai nasema tena hafai kwa moyo wa dhati hatufai hana hoja she is too junior have no ability to manipulated just a single sentence of elites like Lisu mnyika mdee and others
 

Anaweza kupata tu ikiwa Rais atakuwa nyarandu mpenda models!
 
Mheshmiwa mwenyewe anapinga uzalendo aishie buana akaombe kura Nigeria huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…