Afadhali atasaidia kuunda na kutetea chama cha watoa mimba(cwm)
(LAO)
faida kwa taifa itakuwa nn akitetea upuuzi huo?
Muigizaji marufu na x-girlfriend wa Diamond platnumz, Wema Sepetu amechukua fomu ya kugombea ubunge wa viti maalum kupitia CCM.
Akiongea na host wa kipindi cha ala za roho cha clouds fm kilichorushwa hewani tarehe 16 juni 2015 mmiliki huyo wa lebo ya Endless Fame amethibitisha hilo kwa njia ya simu alipohojiwa..
Je.. Utitiri huu wa vijana ndani ya ulingo wa siasa utaleta mabadiliko chanya kwa taifa mbeleni au ndo wengi wao wanafata ulaji kwanza...??
..........Shukran........
Mheshmiwa mwenyewe anapinga uzalendo aishie buana akaombe kura Nigeria huko
Fomu za ubunge ccm bado hazijaanza kutolewa. Naona habari haiko kweli
Hafai nasema tena hafai kwa moyo wa dhati hatufai hana hoja she is too junior have no ability to manipulated just a single sentence of elites like Lisu mnyika mdee and others
viti maalumu vya kwenye sherehe gani???
kwenye hii sherehe mkuu!mbunge gani wa hivi;
kwenye hii sherehe mkuu!mbunge gani wa hivi;
Hii ya kugombea nilisikia mda kumbe yuko serious. Ajaribu bahati yake anaweza kubahatisha. Kama kina Vick kamata aliweza sembuse yeye.All the best