Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Atakuwa naibu waziri wa habari na michezo, if ingekua 2010-2015 under JK
 
Fomu za ubunge ccm bado hazijaanza kutolewa. Naona habari haiko kweli
 
Muigizaji marufu na x-girlfriend wa Diamond platnumz, Wema Sepetu amechukua fomu ya kugombea ubunge wa viti maalum kupitia CCM.
Akiongea na host wa kipindi cha ala za roho cha clouds fm kilichorushwa hewani tarehe 16 juni 2015 mmiliki huyo wa lebo ya Endless Fame amethibitisha hilo kwa njia ya simu alipohojiwa..
Je.. Utitiri huu wa vijana ndani ya ulingo wa siasa utaleta mabadiliko chanya kwa taifa mbeleni au ndo wengi wao wanafata ulaji kwanza...??
..........Shukran........

Wacha vicheche viongezeke ze komedi
 
Hafai nasema tena hafai kwa moyo wa dhati hatufai hana hoja she is too junior have no ability to manipulated just a single sentence of elites like Lisu mnyika mdee and others

ahahahah hii picha nitaitumia kama picha yake ya kampeni ili asishinde huko singida hakyamungu
 
Mbunge wetu ccm hoyeeeee
 

Attachments

  • Maumbile ya nyuma ya Wema Sepetu hadharani___chek.jpeg
    Maumbile ya nyuma ya Wema Sepetu hadharani___chek.jpeg
    35.6 KB · Views: 140
  • Hakika Wema Sepetu anaitajika kupewa tuzo tazama .jpeg
    Hakika Wema Sepetu anaitajika kupewa tuzo tazama .jpeg
    40.2 KB · Views: 122
  • Wema Sepetu Amliza Mama Kanumba.jpeg
    Wema Sepetu Amliza Mama Kanumba.jpeg
    14.7 KB · Views: 156
  • at Sunday, April 07, 2013.jpeg
    at Sunday, April 07, 2013.jpeg
    19.1 KB · Views: 121
Back
Top Bottom