Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
I like that mrembo by nature km hawataki hawalazimishwi but habari buree gazeti peeesa ndio binti was sepengaa anaingiia hivyoo mjengoni
Mbunge mtarajiwa CCM bongo kila kitu kinawezekana
Ipo siku tutaingiza wacheza viduku wote bungeni...
Eti huyu akae na Tundu Lissu wajadili mikataba ya kimataifa...
Siasa zimekuwa nyepesi sana Tanzania...
Mbunge mtarajiwa CCM bongo kila kitu kinawezekana
Na mimi ninawashangaa wanaoona ni kitu cha ajabu! Ms Ubaya ana kila sifa ya vitu maalum vya CCM!Hao wa viti maalumu wanaendaga mjengoni kuburudisha wahashimiwa wetu..ni vipoozeo na michepuk ya wabunge na mawaziri..sitashangaa wema akichaguliwa..mbona wamekuwepo wengi tu wa dizaini yake mjengoni
Hii hatari kule Shilole,huku Wema wote Mjengoni.