Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
I like that mrembo by nature km hawataki hawalazimishwi but habari buree gazeti peeesa ndio binti was sepengaa anaingiia hivyoo mjengoni
Wakwende huko....tatizo elimu zero na hawajui taratibu za politics ....hawajui kwamba siasa haihitaji usomi na kamwe no morality pale. Siasa ni kupata power by whatever means haijalishi unapataje.
Utaalamu uko kwenye utumishi Wa umma na sio kwenye siasa. Shangaa Diwani Wa std 7 failure anamchachafya mkurugenzi (ambae ana masters) kwenye baraza LA madiwani.