Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Aiseeehhh..., ndo umenifumbua macho , kumbe DIAMOND anatumika ipasavyo kuwabeba hawa watu.

Tusubiri.
 
Huyo hakuna kupita wala neneee yani katibu wa ccm singida ni shiderr balaaa hanaga ujinga


Eti akapambane na Martha Mlata,Diana Chilolo na Christina Lissu......yeye experience yake ni kudinywa...wenzake wako kwenye active politics 24/7
 
Eti akapambane na Martha Mlata,Diana Chilolo na Christina Lissu......yeye experience yake ni kudinywa...wenzake wako kwenye active politics 24/7

Katibu wa singida nu marry chatanda huyo ni shida waulize team lowasa wanamjua vyema...huyo abakii kuuza mpapa 2
 
Wema ata ccm atawaongezea kiki sana mitaani wanamuitaji sana. Na bora apate huo ubunge atulie na stress za diamond maana huu ujinga anaofanya ni sababu ya stress na kujifeel amepoteza kila kitu.

Tatizo lake kubwa ni anapingiwa cha kufanya kwa sana tu pia na hao wapambe wake. Hawezi kutumia kichwa chake hata huu ubunge ameambiwa afanye hivyo
 
Huyo huwa hajielewi istoshe wabaya wake wataanza kumchafua mda c mrefu....hko sofa maalum kuna ubabe,fitna,majungu,ushirikina so akipita yeye chiboko

Hahahaaa nina Rafiki angu ni kitu maalumu, nimetengana nae siku nyingi kidogo, kuna mtu alinipa umbea kuwa siku hizi anazurura na mganga wake wa kienyeji kwenye gari yake. Chezeaaaa Ubunge CCM wewe! Bora huko CDM unaweza kubebwa na jina la chama, Ila CCM utaloga hadi ukerewe!
 
Hahahaaa nina Rafiki angu ni kitu maalumu, nimetengana nae siku nyingi kidogo, kuna mtu alinipa umbea kuwa siku hizi anazurura na mganga wake wa kienyeji kwenye gari yake. Chezeaaaa Ubunge CCM wewe! Bora huko CDM unaweza kubebwa na jina la chama, Ila CCM utaloga hadi ukerewe!

Hahaaa ukizoea ulonzi huwezi acha huyo atamaliza waganga wote na anaweza asipate.....cku hizi waganga matozii hawajui chochote usanii mtupu.mganga anaomba umnunulie smart4ne na konyagi
 
Igweeeeeeee,

Hongera Wema Sepetu kwa kupata muamko wa kugombea ubunge na ni wazo zuri ila kwa maoni yangu kwako ni kwamba usigombee mwaka huu ubunge wa viti maalum hadi 2020 ndio ugombee. Hii ni kwa sababu zifuatazo.

Kwanza mjue kuwa wabunge wa viti maalum hawateuliwi na Rais kama wengi wanavyodhani bali wagombea hufanya kampeni na wanachama tu wa chama husika wenye kadi za vyama ndio hupiga kura na hushiriksha wanawake tu.

Wema bado huna connection nzuri na wanachama wako unaotaka wakakupigie kura, ujue kuwa wanachama wenye kadi tu ndio wataopiga kura ya kukupitisha ndani ya chama na kwa uzoefu wangu hautapita hata kwenye hatua za uteuzi wa chama kwasababu unaokwenda kushindana nao ni watu mashuhuri katka vyama na serikali pia.

Ni wanawake ambao wametumikia vyama vyao katika nafasi mbalimbali,makada,wenyeviti wa vyama nk. Ambapo kwa upande wako hujawahi hata kuwa mwenyekiti wa mtaa wako kupitia chama chochote kile, kitu ambacho kinakupnguzia credit kwani kwa bahati mbaya wanaopiga kura sio wananchi wote bali wanawake wa vyama husika wenye kadi.

Lakini pia vyama hufanya uteuzi wa mtu wa kuwawakilisha jambo ambalo litakuwa sumu kwako kwani kuna watu huandaliwa mapema na vyama husika na wanaaminika zaidi na ni mashuhuri pia.

Anza harakati za kisiasa sasa ili uje ugombee 2020 nawe utapitishwa na chama.

Uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu and i can say sorry for you because hutapitishwa na chama kama mgombea.

Chukua ushauri wangu uepuke kupoteza fedha bure na muda. Nakupenda that's why nimekujuza.

La mwsho ni kwamba wananchi bdo hawajawahi kukuona hata katika harakati zozote za kisiasa, umeibuka ghafla sana wakati hata hatujui Wema atatushawishije katika suala la ajira na uchumi wakati hata yeye hatujui kawekeza kwenye nini.
 
Wema hajitambui,na wala hajielewi anachukulia kila kitu simple simple tu,kama Bunge letu litakuwa zoa zoa watembea uchi nao weingie aah bas tena......miaka 50 ya uhuru mpaka sasa ndio mafanikio hayo....?
 
Back
Top Bottom