Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo hakuna kupita wala neneee yani katibu wa ccm singida ni shiderr balaaa hanaga ujinga
Eti akapambane na Martha Mlata,Diana Chilolo na Christina Lissu......yeye experience yake ni kudinywa...wenzake wako kwenye active politics 24/7
Katibu wa singida nu marry chatanda huyo ni shida waulize team lowasa wanamjua vyema...huyo abakii kuuza mpapa 2
inawezekana ameshaongea na chatanda
Wema ata ccm atawaongezea kiki sana mitaani wanamuitaji sana. Na bora apate huo ubunge atulie na stress za diamond maana huu ujinga anaofanya ni sababu ya stress na kujifeel amepoteza kila kitu.
Mweh....kweli huyo bungeWatu wanawivu jaman loo.hyo edit tu.ila huyo ndobunge
Katibu wa singida nu marry chatanda huyo ni shida waulize team lowasa wanamjua vyema...huyo abakii kuuza mpapa 2
Huyo huwa hajielewi istoshe wabaya wake wataanza kumchafua mda c mrefu....hko sofa maalum kuna ubabe,fitna,majungu,ushirikina so akipita yeye chiboko
Hahahaaa kweli yule mama ni team Membe kama sikosei nasikia anawachachafya sana team Lowasa.
Hahahaaa nina Rafiki angu ni kitu maalumu, nimetengana nae siku nyingi kidogo, kuna mtu alinipa umbea kuwa siku hizi anazurura na mganga wake wa kienyeji kwenye gari yake. Chezeaaaa Ubunge CCM wewe! Bora huko CDM unaweza kubebwa na jina la chama, Ila CCM utaloga hadi ukerewe!
Hahaaa ukizoea ulonzi huwezi acha huyo atamaliza waganga wote na anaweza asipate.....cku hizi waganga matozii hawajui chochote usanii mtupu.mganga anaomba umnunulie smart4ne na konyagi
Hahahaaa
Hahahaaa kweli yule mama ni team Membe kama sikosei nasikia anawachachafya sana team Lowasa.