Pia huu ndo wakati muafaka wa kumkubali baba yake kwn nafikiri kama muungwana kwa kitendo cha mamake kumlisha Zari keki kwa kono la mavi jana,atajua kuwa mamake pia ni mshari sana,yawezekana Mzee Abdul alikimbia mtiti wake huyo mamadiamond akimuumiza mama mtoto wake itakuwa chanzo cha downfall yake...ajiulize why yeye hampendi baba yake
Me nilijua yameshakwisha ndo mana akampost kumtakia hepi besdeiAende wapi? umesahau alipokuwa anamtukana mama yake Diamond.
Aende kwenye sherehe zingine wanaume ni wengi hapo Dar wenye watoto.
She should get a life far away from Diamond, supporting each other in business is a part of life for celebs.
hahahahahhahahahahah "kono la mavi"Pia huu ndo wakati muafaka wa kumkubali baba yake kwn nafikiri kama muungwana kwa kitendo cha mamake kumlisha Zari keki kwa kono la mavi jana,atajua kuwa mamake pia ni mshari sana,yawezekana Mzee Abdul alikimbia mtiti wake huyo mama
Nahisi ile haikuwaya wema pekee cz nimeona pia wasanii wenvine wanazo kama ile. japokuwa ya wema ilipata kiki ya napeHivi ile application ya WEMA aliyoizindua NAPE bado ipo, na inafanya nini?
DivaHivi huyu Mwanamke Wema hana USO wa aibu? Kila gazeti wema., wema inatia kinyaaaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji12]Msiseme ni wanaume wa Dar, hawa wengine ni wakuja tu!
kwahiyo sikuhizi zari ndo anamtungia mond nyimbodiamond akimuumiza mama mtoto wake itakuwa chanzo cha downfall yake...ajiulize why yeye hampendi baba yake
Ulimbukeni unawasumbua...Birthday ya mtoto imekuwa big issue...kweli wabongo hatuna kazi.
Kumbe na wewe amewahi kukusaga eti? Pole ukome kujiachia achia.Wema anajisogeza kwa diamond slowly ingekua vizuri amuache diamond atulie na familia yake yeye wema aendelee kusagana na madem wenZie maana ndio michezo yake
diamond kwanza sasa hivi sio ku date mtu Kama wema yaani Anatakiwa akiamua kumuacha zari aende kwa Beyoncé sio hao madem njaa kina sepetu
Huh! me too,Poor Fool.I feel sorry for Kiba
Na atakuwa mjinga wa upeo wa juu Diamond kumsahau mtu aliye mtukana Mama mtoto wake na mwanawe toka akiwa tumboni mwa mama yake 'Mimba my Foot' na mpaka anazaliwa,kusamehe kupo na nikuzuri ila kusahau ndio haya weee.Nachoona ni Wema kuanza kurudisha majeshi taratibu kwa Diamond. Ila mimi napenda kumuona Dai na Zari zaidi kuliko huyo Wema though mapenzi ni maamuzi ya wawili.
Labda washaombana Msamaha. Samehe 7×70Na atakuwa mjinga wa upeo wa juu Diamond kumsahau mtu aliye mtukana Mama mtoto wake na mwanawe toka akiwa tumboni mwa mama yake 'Mimba my Foot' na mpaka anazaliwa,kusamehe kupo na nikuzuri ila kusahau ndio haya weee.
Yana wezekana na litakuwa ni jambo zuri.Labda washaombana Msamaha. Samehe 7×70