Wema Sepetu kupandishwa kizimbani

Wema Sepetu kupandishwa kizimbani

Ka mbwa au katoto kake?Ila nahisi kina kazi nyingine nyeti.....
mnh! we mtoto siku hizi una maneno.... ni kazi ipi hiyo nyeti?! Halafu nahisi kama naugua hivi baada ya kuku-miss kwa siku zote hizi; sema dah, kama isingekuwa nanii!!!!
 
mnh! we mtoto siku hizi una maneno.... ni kazi ipi hiyo nyeti?! Halafu nahisi kama naugua hivi baada ya kuku-miss kwa siku zote hizi; sema dah, kama isingekuwa nanii!!!!

Mhhhhh,isingekua nanii!!!!
Nini hiyo?
 
Nan mwenye uhakika kua ao majamaa yalipgwa

Kumbe hii habari umeisikia hapa kwenye huu uzi?
Iliwahi kuletwa hapa kama wiki mbili zilizopita,majamaa yalipigwa kweli hadi majirani walisema hivyo,pia walienda police wakapewa pf3
 
Mhhhhh,isingekua nanii!!!!
Nini hiyo?
mnh! nawe... hujajua tu?! basi, nitakumbia baadae kidogo hadi watu wapungue kwenye huu uzi...c unajua tena usimwage mchele penye kuku wengi? wengine waroho, usipime... kabla uliyemmwagia hajadonoa; wao tayari wanatafuta maji ya kwenda kushushia!!
 
Haha haaaa,haya poa.
 
Wakamatwe wote na Mrembo by Nature alikuwepo teh..teh....

mnafurahi wenyewe kuona binti sepetu mabaya yanamfika...kwanza aliyepiga watu ni petit ila mmpepindisha hadi heading inamhusu wema. satelite ya wema ni kali sana yule kushuka si leo wala kesho. chukueni viti mkae msubiri maana si leo wala kesho
 
Last edited by a moderator:

kwani bado hajapandishwa kizimbani tu?
 
Nshawahi kuickia hii ishu pale clouds fm kwa sudi brown lakin nakumbuka walikataa hee yamenuka tenaaa
 
acha tu, namisije umbea sasa?? yani napitwa kweli aiseh

Mimi nakuambia jukwaa nimeliona chungu sana hili,nilisema hadi warumi arudi ndio nitakuja huku..lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom