mnh! we mtoto siku hizi una maneno.... ni kazi ipi hiyo nyeti?! Halafu nahisi kama naugua hivi baada ya kuku-miss kwa siku zote hizi; sema dah, kama isingekuwa nanii!!!!Ka mbwa au katoto kake?Ila nahisi kina kazi nyingine nyeti.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnh! we mtoto siku hizi una maneno.... ni kazi ipi hiyo nyeti?! Halafu nahisi kama naugua hivi baada ya kuku-miss kwa siku zote hizi; sema dah, kama isingekuwa nanii!!!!Ka mbwa au katoto kake?Ila nahisi kina kazi nyingine nyeti.....
wema ndo nani?
Mmmh kwann lakin Dada?
Ha ha ha!shaurilooo ngoja waje!!
mnh! we mtoto siku hizi una maneno.... ni kazi ipi hiyo nyeti?! Halafu nahisi kama naugua hivi baada ya kuku-miss kwa siku zote hizi; sema dah, kama isingekuwa nanii!!!!
Wewe unaona ni haki kweli walivyofanyiwa hao vijana?
Can u imagine wangekua ndugu zako?
Nan mwenye uhakika kua ao majamaa yalipgwa
mnh! nawe... hujajua tu?! basi, nitakumbia baadae kidogo hadi watu wapungue kwenye huu uzi...c unajua tena usimwage mchele penye kuku wengi? wengine waroho, usipime... kabla uliyemmwagia hajadonoa; wao tayari wanatafuta maji ya kwenda kushushia!!Mhhhhh,isingekua nanii!!!!
Nini hiyo?
lol kazi mnayoKa mbwa au katoto kake?Ila nahisi kina kazi nyingine nyeti.....
mnh! nawe... hujajua tu?! basi, nitakumbia baadae kidogo hadi watu wapungue kwenye huu uzi...c unajua tena usimwage mchele penye kuku wengi? wengine waroho, usipime... kabla uliyemmwagia hajadonoa; wao tayari wanatafuta maji ya kwenda kushushia!!
lol kazi mnayo
Wakamatwe wote na Mrembo by Nature alikuwepo teh..teh....
mnafurahi wenyewe kuona binti sepetu mabaya yanamfika...kwanza aliyepiga watu ni petit ila mmpepindisha hadi heading inamhusu wema. satelite ya wema ni kali sana yule kushuka si leo wala kesho. chukueni viti mkae msubiri maana si leo wala kesho
kheri ya christmas mmbea mwenzangu??