acha tu, namisije umbea sasa?? yani napitwa kweli aiseh
kwani bado hajapandishwa kizimbani tu?
mnafurahi wenyewe kuona binti sepetu mabaya yanamfika...kwanza aliyepiga watu ni petit ila mmpepindisha hadi heading inamhusu wema. satelite ya wema ni kali sana yule kushuka si leo wala kesho. chukueni viti mkae msubiri maana si leo wala kesho
Mimi nakuambia jukwaa nimeliona chungu sana hili,nilisema hadi warumi arudi ndio nitakuja huku..lol
happy new year kubwa la maadui? nipo uku uganda busy na kikao cha harusi ya ndomo na xari, mwaka huu team naniliu zitajibebaa
ndoa alifunga prince wa uingereza na yule mdada sembuse ya daimond na huyo mbibi chu...pi mkononi
ndoa alifunga prince wa uingereza na yule mdada sembuse ya daimond na huyo mbibi chu...pi mkononi
halafu wewe ndo dogimasta weeewe
Happy new year mrembo
asantee, happy new year pia dina, Mumgu akufanyie wepesi kwa kila ulolipanga 2015. akusaidie pia chiko dhidi ya wema ipungue maana chuki hupunguza mibaraka na siku za kuishi
wala hujakosea ndio mieeeeeeeee
wala hujakosea ndio mieeeeeeeee
mama angu mzazi mnafanana miandiko kweli na km si wewe bas ndugu yako wa karibu hasa
Hhhhhhaaaaa mambavu yanguuu
Hhhhhhaaaa nashukuru sana mrembo wangu,wema nampenda mpaka najikojoleaaaa,,mafuriko vipi huko au bado upo ghana
happy new year kubwa la maadui? nipo uku uganda busy na kikao cha harusi ya ndomo na xari, mwaka huu team naniliu zitajibebaa
si nimekwambia ni mimi
bas jitihada zako naziona mama maana hapo ndo angekua anakulipa dah binamu ungekua mbali ngoja nkatoe picha zangu na nibadili jina nianze kukuchamba kule ig mieee maana
tatizo maaskari wa hiari wako kila kona. vichambo vingekuwa risasi labda. vichambo ni maneno tu ukiyapuuzia wala hayakudhuru. ningekushauri uache kuchambana maana 2015 ni mwaka wa heri. ni mwaka wa kutafuta hela tu. ni mwaka wa kulia na Mungu zile ndoto zote zilizoyeyuka zitimie haters waaibike, dharau igeuke iwe heshima. kwa kifupi utakuwa ni mwaka busy sana.
kwa kifupi hata hapa nitaadimika kiaina.
Mwaka wa hela
mwenzangu siku izi umbea hamna, hawa wasanii sijui ndo wameamua kutukomesha wambea, sasa tutaandika nini sijui, inabidi tuanze kujichamba wenyew sasa, au nipe scandal ya Mrembo by Nature tuanze kumdadavua apa