Kwa wale wabishi wa kununua ving'amuzi, hapa lazima wanunue tuu.
mnhhhhhhhhh
huu mguno ni wa lijipicha litakalokuwa linaonekana kwny kameraaaa au?
:fencing:
kwenye kulambwa, na hivi huwa anasema akipenda anazama, basi...
Eeeee, hata mie akienda BBA nitanunua kingamuzi, Nampendaga hafichi hisia zake "kama BHOKE"....sipati picha atakavyomfunika... TUTARUHUSIWA KUREKODI ?Tatizo atakosa kura nyingi za watanzania, sababu unajua wapiga kura wengi ni wanawake hapa bongo sasa wanamuoneaga kawivu flani anavyoshaini cheki hata hapa JF. Sijui kwanini mademu hatupendani, binafsi nampendaga yuko real hafichi hisia zake