Wema Sepetu kushiriki Big Brother Africa

Wema Sepetu kushiriki Big Brother Africa

japokuwa c mshabiki wa big brother lkn historia inaonesha wawakilishi wakike huwa hawafanyi vizuri hata hivyo Wema kachukua tu form bado kuna usaili wa kuchuja
 
Tatizo atakosa kura nyingi za watanzania, sababu unajua wapiga kura wengi ni wanawake hapa bongo sasa wanamuoneaga kawivu flani anavyoshaini cheki hata hapa JF. Sijui kwanini mademu hatupendani, binafsi nampendaga yuko real hafichi hisia zake
 
ol n ol she can du t,,,,,,, n julio anaprefer top in dar tid akashrk na yy bba
 
Basi shiriki nyie Mnao mpinga. Mwache akajaribu bahati yake na mkipigia kura mbona ndio kushinda njenje.
 
Wema anaweza bba, tutakuja kushangilia ushindi hapa, pia atarudi na mchumba mpya from bba....go go wema
 
Tatizo atakosa kura nyingi za watanzania, sababu unajua wapiga kura wengi ni wanawake hapa bongo sasa wanamuoneaga kawivu flani anavyoshaini cheki hata hapa JF. Sijui kwanini mademu hatupendani, binafsi nampendaga yuko real hafichi hisia zake
Eeeee, hata mie akienda BBA nitanunua kingamuzi, Nampendaga hafichi hisia zake "kama BHOKE"....sipati picha atakavyomfunika... TUTARUHUSIWA KUREKODI ?
 
aibu inaandaliwa kutokea kwa mzee mandela wananchi mkae tayari maana hakutakua na simulizi za mtwara gesi,nape wala zitto zaidi ya uyu devil mistress WEMA kwenda mjengoni kutuwakilisha watanzania takriban 40 milion
 
uwiiii na hivi ana bwana kwa sasa lazima arud na ushindi maana watu wanaeza penda anavobadili mabwana
 
Ni hivi punde nimeiona hii kupitia blog ya www. miss Jestina george.com,kwamba wema sepetu msanii mwenye kila aina ya vituko lukuki,kwamba ni miongoni mwa watanzania ambao wako mbioni kutua katika lile shindano la Big brother afrika,2013.

My take:hivi ni namna gani huu mchakato wa kupata wawakilishi wa taifa hili huko big brother afrika unavyoendeshwa?

Je ni katika upana gani mchakato huu hutangazwa nchi nzima ili watu wengi waweze kujitokeza ili kumpata mtu sahihi mwenye upeo mpana mwenye kuweza kuchanganua mambo kulingana na dunia ya leo.
Ebu wadau kwenye hili tueleweshane kuhusu hnii multichoice na jinsi inavyofanya shughuli zake hapa nchini.
 
tumeshafuliwa na waliopita kama bhoke,latoya na wengineo na bila hayo ma uchafu mchezo haunogi
 
Back
Top Bottom