Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Kumbee...wadada tunapenda ujana...32 or 33
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbee...wadada tunapenda ujana...32 or 33
Sawa mama wemaMiaka 30...sio 28....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ana mwaka 1 kabisa...Wema bado mdogo jaman Ndo Kwanzaa ana miaka 20 bwahahahahahah
Aisee hata mm mwaka huo nilikua Form 1 huyu bidada alikua star tayari,means mpaka anaruhusiwa kushiriki mashindano ya umiss alikua ana miaka 18 au 18+ then leo aseme ana 28? She is not serious for real. Kwa hesabu za haraka ana 30-32 hvIna maana mimi ni mkubwa kuliko wema 2006 nikiwa fomu one huyu ndo alikuwa miss Tanzania leo ni mdogo kuliko mimi khaaaa
Hiv kwan wema si alikua miss tz 2006? Ina maana miaka kumi nq mbili iliyo iliiyo pita alkua na miaka 16 na akashnda umiss?Mrembo kutoka kiwanda Cha bongo movies Wema Sepetu maarufu kama Tanzania sweetheart Leo anatimiza miaka 28 huku akizindua filamu yake mpya iitwayo D.O.D aliyomshirikisha msanii maarufu kutoka Ghana Van vicker pale mlimani city
Filamu hiyo ilighairishwa kuzindua Mara kadhaa kutokana na sababu mbalimbali, hatimaye muda umefikaView attachment 880204
Kumbee...wadada tunapenda ujana...
Mimi nimekua namsikia Wema Wema Wema.
Chakushangaza sasa
Mimi nimetimiza miaka 30 ila yeye bado yupo 28 tu.
Hbd kwake
japo Miss wetu anadanganya ila ulichelewa shule. tena sana. Tuseme una 29. inamaana ulianza sekondari na miaka 17!!?. We siyo mfano mzuri wa kufananishia.Ina maana mimi ni mkubwa kuliko wema 2006 nikiwa fomu one huyu ndo alikuwa miss Tanzania leo ni mdogo kuliko mimi khaaaa
Hata maana wanakuwa wantisha badala kupendezaSijawahi kuelewa kwanini wanawake wanapiga hizi makeup mtu anakuwa kama andazi lilitolewa kwenye mafuta
Labda ndio wale wa young foreverMimi nimekua namsikia Wema Wema Wema.
Chakushangaza sasa
Mimi nimetimiza miaka 30 ila yeye bado yupo 28 tu.
Hbd kwake
Kwann wanaiogopa ?Wenzako 30 wanaigopa kama ukoma,ndo mana wanajifariji
Weka picha.Im not a hater....ila gauni alovaa leo, kwangu ni big No!!! Maybe coz nilitegemea makubwa kutoka kwake....esp kwenye siku yake special kama leo.....
Mkuu wanawake wanapenda umri wao badala ya kuongezeka uwe unashuka.Kwann wanaiogopa ?
Mkuu ulienda kwenye hiyo birthday??Im not a hater....ila gauni alovaa leo, kwangu ni big No!!! Maybe coz nilitegemea makubwa kutoka kwake....esp kwenye siku yake special kama leo.....