Wema Sepetu kuzindua filamu yake leo kwenye birthday yake

Warembo wa bongo movie hawajawahi kuvuka miaka 30 kila siku ni 27,28.....
 
Ni sawa. Kazaliwa mwaka 1988. Hiyo miaka 28, kaitaja mleta uzi huu. Sidhani kama alimtuma.
Halafu, tumeacha kuujadili ujumbe tulioletewa, tunajadili umri wake tu!
Tunajadili "yatokanayo"
Bado ni sawa tu mkuu!
 
Ila m..nye ina milage hatari!!

Hivi hiyo filamu aliyoizindua haina maudhui ya akina "mandingo" kweli!!?
 
Ni sawa. Kazaliwa mwaka 1988. Hiyo miaka 28, kaitaja mleta uzi huu. Sidhani kama alimtuma.
Halafu, tumeacha kuujadili ujumbe tulioletewa, tunajadili umri wake tu!
Kama umegundua... wambea wengi ni mabingwa wa kulisha watu maneno na waluwalu pia.... wanatunga tunga mambo ilimradi kuchangamsha genge
 
Hii miaka ya huyu mwanadada huwa haiongezeki?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Harmorapa nae hakua nyuma,naona kama vile ndoto ya chali inaenda kutimia,just a matter of time...
 

Wema mi lav yaa. Hilo nywele zuri du so sexy. Yummy....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…