noel robart
Member
- Jun 4, 2015
- 75
- 23
Aaah shabiki benders hao...m2 akijisikia 2 thread....daaah adi uyu malaya mmefngua thread yake
Wema hana hadhi ya kufunguliwa special Thread hapa Jf achilia mbali kuanzishiwa Thread hapa kwa kipi haswa alichokifanya / anaendelea au anachotarajia kukifanya?
kuanzisha special threads imekua fashion kama kutangaza nia ya uraisi,,, Mfungulie na kingwendu special thread yake
Na wewe unataka tukufungulie special thread!
kuanzisha special threads imekua fashion kama kutangaza nia ya uraisi,,, Mfungulie na kingwendu special thread yake
Mhhhhhh Tmk family ndo nani huyo?? toa na ushaidi wa picha za hao wapenz wake acha porojo,hasa huyo tmk family.Majuto tena?😂😂😂
Benders= Bendera
M2 = Mtu
Adi= Hadi
Uyu = Huyu
Mmefngua = Mmefungua
Kajifunze kuandika halafu urudi hapa!
Boss wenu
Nani amenuuuuna
hhhhhaaaaaaaa jamai najua unataka nitokwe povu ,
hhhhhaaaaaaaa jamai najua unataka nitokwe povu ,
Lete sasa hivi huo ubuyu maana huyu mama Ubaya huu mwezi kaharibu kuhamisha mashabiki wa Chibu.ahahahahaha!!!Dina mi nasubiria hizi tuzo zipite kwanza!nitakuletea ubuyu exclusive wa JUX kumchomolea WEMA!!
ahahahahaha!!!Dina mi nasubiria hizi tuzo zipite kwanza!nitakuletea ubuyu exclusive wa JUX kumchomolea WEMA!!
utanipa kwanza pm heheeeeee