Binamu kigeugeu,kanichekesha sana leo
Hahahahaa!binamu sio mtu mzuri jamani ah!
Tutamgeuka na sie siku moja mpaka atazimiaa

We muache tu ipo siku yake atajutra tutamgeuka mpaka ahamie jukwaa la intelijensia
Nakuambia hivi atahamia jukwaa la siasaaa
Mrembo wangu huwezi kupendwa na watu woteee mama angu(kwa sauti ya upole)
Ndo maana nimesema nyie mnaomchukia basi japo roho yake musiiguse. Manake binti was watu kila anachofanya ni shida kinakuzwaaaa as if kutombwa na kuhongwa ameanza Wema peke take.... Msijue hata kuhongwa si kila mtu ana sura na bahati ya kuhongwa. Walihongwa akina zari na Ivan na bado havikudumu Ivan akatoa talaka na kuchukua Mali zake juu amebaki kuchukua akina LK4 na domo wanuka tandale. So ukiona unahongwa kila Leo miaka nenda rudi jua Una kitu cha ziada ambacho wengine hawana. Najua utanijibu kuhusu zari ila ukitaka habari zake za kina ntakuelekeza wapi pa kuzipata. Not hating at all
Roho yake tushamuachia sieee
Yote tisa kumi haya yamwage ya Zarinah maana inaonyesha umeumizwa sana na zari hhhhhaa
Wala siwezi kuumia Dinazarde ila ndio uhalisia. Mwenzio sinaga ushabiki wa hivyo ndo maana ukweli nasimamia na penye kosa huwa naweka wazi. Nitakuwa nakukopia name kukupastia inbox nikiwa kwa laptop manake si machache. Ila ni kwa lugha ya malkia
Hahahahaa!binamu sio mtu mzuri jamani ah!
We muache tu ipo siku yake atajutra tutamgeuka mpaka ahamie jukwaa la intelijensia
Ndo maana nimesema nyie mnaomchukia basi japo roho yake musiiguse. Manake binti was watu kila anachofanya ni shida kinakuzwaaaa as if kutombwa na kuhongwa ameanza Wema peke take.... Msijue hata kuhongwa si kila mtu ana sura na bahati ya kuhongwa. Walihongwa akina zari na Ivan na bado havikudumu Ivan akatoa talaka na kuchukua Mali zake juu amebaki kuchukua akina LK4 na domo wanuka tandale. So ukiona unahongwa kila Leo miaka nenda rudi jua Una kitu cha ziada ambacho wengine hawana. Najua utanijibu kuhusu zari ila ukitaka habari zake za kina ntakuelekeza wapi pa kuzipata. Not hating at all
Wala siwezi kuumia Dinazarde ila ndio uhalisia. Mwenzio sinaga ushabiki wa hivyo ndo maana ukweli nasimamia na penye kosa huwa naweka wazi. Nitakuwa nakukopia name kukupastia inbox nikiwa kwa laptop manake si machache. Ila ni kwa lugha ya malkia
Nampenda Wema ila mambo yake simuelewi haswa akiwa na huyo domo mapenzi yangu huwa likizo ila lazma warudiane tu alivo