Wema Sepetu "Madame" Fans' Special Thread, Njooni tukutane hapa

Nakuambia hivi atahamia jukwaa la siasaaa

Sipati picha siku akija jukwaa la Siasa atakavyo kimbizwa hahahhaha

lakini ninacho msifu ana mchango mkubwa sana kwenye jukwaa hili maana yeye ndio amechangia limekuwa moja ya majukwaa ambayo mtu uwezi kuacha kupita hata kama hutochangia.....sasa hivi ni Moja ya majukwaa jf yenye jam la kutosha!
 
Mrembo wangu huwezi kupendwa na watu woteee mama angu(kwa sauti ya upole)

Ndo maana nimesema nyie mnaomchukia basi japo roho yake musiiguse. Manake binti was watu kila anachofanya ni shida kinakuzwaaaa as if kutombwa na kuhongwa ameanza Wema peke take.... Msijue hata kuhongwa si kila mtu ana sura na bahati ya kuhongwa. Walihongwa akina zari na Ivan na bado havikudumu Ivan akatoa talaka na kuchukua Mali zake juu amebaki kuchukua akina LK4 na domo wanuka tandale. So ukiona unahongwa kila Leo miaka nenda rudi jua Una kitu cha ziada ambacho wengine hawana. Najua utanijibu kuhusu zari ila ukitaka habari zake za kina ntakuelekeza wapi pa kuzipata. Not hating at all
 
Roho yake tushamuachia sieee
Yote tisa kumi haya yamwage ya Zarinah maana inaonyesha umeumizwa sana na zari hhhhhaa
 
Wala siwezi kuumia Dinazarde ila ndio uhalisia. Mwenzio sinaga ushabiki wa hivyo ndo maana ukweli nasimamia na penye kosa huwa naweka wazi. Nitakuwa nakukopia name kukupastia inbox nikiwa kwa laptop manake si machache. Ila ni kwa lugha ya malkia
 
Last edited by a moderator:

Haya mrembo,,,sie tupo kule tunacheka mnyukano wa mbuta na Mange
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana nimesema nyie mnaomchukia basi japo roho yake musiiguse. Manake binti was watu kila anachofanya ni shida kinakuzwaaaa as if kutombwa na kuhongwa ameanza Wema peke take.... Msijue hata kuhongwa si kila mtu ana sura na bahati ya kuhongwa. Walihongwa akina zari na Ivan na bado havikudumu Ivan akatoa talaka na kuchukua Mali zake juu amebaki kuchukua akina LK4 na domo wanuka tandale. So ukiona unahongwa kila Leo miaka nenda rudi jua Una kitu cha ziada ambacho wengine hawana. Najua utanijibu kuhusu zari ila ukitaka habari zake za kina ntakuelekeza wapi pa kuzipata. Not hating at all

Niko chini ya miguu yako, ntapata wapi ubuyu wa zari? Apa moyo wote umelipuka, umbea huu mmh
 
Roho yake tushamuachia sieee
Yote tisa kumi haya yamwage ya Zarinah maana inaonyesha umeumizwa sana na zari hhhhhaa

Hilo ndo la muhimu, amwage mambo hadharan tujufaidie sie.

Leo binam mtandao umenigomea kutwa nzima, sijui ndo mshanifanyia yenu wew na geniveros na J.lee
 
Last edited by a moderator:
Wala siwezi kuumia Dinazarde ila ndio uhalisia. Mwenzio sinaga ushabiki wa hivyo ndo maana ukweli nasimamia na penye kosa huwa naweka wazi. Nitakuwa nakukopia name kukupastia inbox nikiwa kwa laptop manake si machache. Ila ni kwa lugha ya malkia

Mmh apo kwenye lugha ya malkia ndo umenikata maini mwenzio, umbea wote umeisha, aya sie akina kapeto tunafanyaje kuupata huo ubuyu kwa lugha ya nyerere binamu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom